Kumbe Kikwete anaweza kukaa nchini bila kwenda nje

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,720
Naendelea kujifunza kuhusu JK!

Kumbe madaraka ni matamu wakuu!

Jamaa amekata ule utalii na safari zote za Merikani na Ulaya alizokuwa anazifanya kila mwezi, ili kutetea nafasi yake ya uprezidaa!....
Kumbe inawezekana kukaa nchini kwa miezi kadha akitembelea vijiji na kata bila kusafiri na kwenda kupanda mabembea!?

Pia ni masikitiko makubwa kwamba huyu mkuu angelikuwa anamaanisha kuwasaidia wananchi kikweli, hizo helikopta alizonunua ili kufanya kampeni angezinunua mapema akiwa rais ili awafikie watu kirahisi na kuwasikiliza!...Mi naona tendo hilo linamfanya aonekane Mbinafsi zaidi, na kwamba hayuko kwaajili ya watanzania, bali kulinda nafasi na ufalme wake kwa gharama ya walipa kodi!!...mwaionaje hii!
 
Moja: A Akienda Ulaya atatolewa tonge mdomoni.. subiri akichaguliwa uone atakapolipizia muda wa kampeni...

Pili: Haya mambo ya safari la Ulaya na Marekani sijui ni kwanini hayaiburiwi kwenye kampeni za akina Slaa na Lipumba kwa sasa... Inafaa wawaoneshe wananchi kwamba wakati ambako Kikwete hajaenda kula kuku kwa mlija ulaya ni wakati huu tu na wakimchagua wajue kwamba safari zake za matanuzi ndo kwanza fisi kakabidhiwa bucha..
 
well said PJ,

i am just worried kama yeye na washauri wake wanakuelewa
 
Moja: A Akienda Ulaya atatolewa tonge mdomoni.. subiri akichaguliwa uone atakapolipizia muda wa kampeni...

Pili: Haya mambo ya safari la Ulaya na Marekani sijui ni kwanini hayaiburiwi kwenye kampeni za akina Slaa na Lipumba kwa sasa... Inafaa wawaoneshe wananchi kwamba wakati ambako Kikwete hajaenda kula kuku kwa mlija ulaya ni wakati huu tu na wakimchagua wajue kwamba safari zake za matanuzi ndo kwanza fisi kakabidhiwa bucha..

Maybe because Slaa and Lipumba understand what those trips have brought for TZ. Ya can't just popularize and politicize everything.
 
Ngoja kampeni ziishe halafu aukwae urahisi utasikia every after three weeks mara yuko marekani, mara uingereza, mara spain
 
Maybe because Slaa and Lipumba understand what those trips have brought for TZ. Ya can't just popularize and politicize everything.
Dr. Slaa kashasema sana tu!! wewe ndo upo usingizini!
Kampeni zikiisha tu itabidi awahi matibabu hata kabla matokeo hayajatoka!!
 
Naendelea kujifunza kuhusu JK!

Kumbe madaraka ni matamu wakuu!

Jamaa amekata ule utalii na safari zote za Merikani na Ulaya alizokuwa anazifanya kila mwezi, ili kutetea nafasi yake ya uprezidaa!....
Kumbe inawezekana kukaa nchini kwa miezi kadha akitembelea vijiji na kata bila kusafiri na kwenda kupanda mabembea!?

Pia ni masikitiko makubwa kwamba huyu mkuu angelikuwa anamaanisha kuwasaidia wananchi kikweli, hizo helikopta alizonunua ili kufanya kampeni angezinunua mapema akiwa rais ili awafikie watu kirahisi na kuwasikiliza!...Mi naona tendo hilo linamfanya aonekane Mbinafsi zaidi, na kwamba hayuko kwaajili ya watanzania, bali kulinda nafasi na ufalme wake kwa gharama ya walipa kodi!!...mwaionaje hii!

Ukiona alivyomwaga mabango nchi nzima, anavyotumia picha hata ya mama yake na marais wa nchi nyingine utajua kuwa amepatwa na kiwewe cha kushindwa halafu ni mbinafsi sana. sijui kwa nini wagombea wa ubunge wa chama chake hakuwakatia hata senti!!!
 
Maybe because Slaa and Lipumba understand what those trips have brought for TZ. Ya can't just popularize and politicize everything.
Selemani,
Maybe you can enlighten us on what those Kikwete trips abroad have brought Tz which would not have been attained without them.
 
Ziara za jk nje ya nchi hazina matunda yoyote na tanzania imeshuka kiuwekezaji.

Kwanza ingetakiwa kukaa nchini kutengeneza serikali inayowajibika. Fikiria mwekezaji anaandika barua wizarani haijibiwi, sasa kwenda nje kufanya nini?

Tuseme wawekezaji wameijua tanzania na wameitikia wito na wametuma barua pepe (email), hakuna hata wizara moja yenye email zinazofanya kazi, au kama zinafanya kazi utajibiwa baada ya mwezi.

Ukiandika barua au barua pepe kwenda serikali za kenya, south africa,marekani unajibiwa katika masaa 48.

Hakuna mawasiliano kati ya wizara na wateja wao. Mtu akitaka taarifa za uwekezaji wizarani ni lazima uende wizarani physically na utoe chochote.

Sasa uwekezaji gani huo tunaongelea katika ziara za nje?
 
naendelea kujifunza kuhusu jk!

kumbe madaraka ni matamu wakuu!

jamaa amekata ule utalii na safari zote za merikani na ulaya alizokuwa anazifanya kila mwezi, ili kutetea nafasi yake ya uprezidaa!....
kumbe inawezekana kukaa nchini kwa miezi kadha akitembelea vijiji na kata bila kusafiri na kwenda kupanda mabembea!?

pia ni masikitiko makubwa kwamba huyu mkuu angelikuwa anamaanisha kuwasaidia wananchi kikweli, hizo helikopta alizonunua ili kufanya kampeni angezinunua mapema akiwa rais ili awafikie watu kirahisi na kuwasikiliza!...mi naona tendo hilo linamfanya aonekane mbinafsi zaidi, na kwamba hayuko kwaajili ya watanzania, bali kulinda nafasi na ufalme wake kwa gharama ya walipa kodi!!...mwaionaje hii!
sema sema paka jimmy
 
Naendelea kujifunza kuhusu JK!

Kumbe madaraka ni matamu wakuu!

Jamaa amekata ule utalii na safari zote za Merikani na Ulaya alizokuwa anazifanya kila mwezi, ili kutetea nafasi yake ya uprezidaa!....
Kumbe inawezekana kukaa nchini kwa miezi kadha akitembelea vijiji na kata bila kusafiri na kwenda kupanda mabembea!?

Pia ni masikitiko makubwa kwamba huyu mkuu angelikuwa anamaanisha kuwasaidia wananchi kikweli, hizo helikopta alizonunua ili kufanya kampeni angezinunua mapema akiwa rais ili awafikie watu kirahisi na kuwasikiliza!...Mi naona tendo hilo linamfanya aonekane Mbinafsi zaidi, na kwamba hayuko kwaajili ya watanzania, bali kulinda nafasi na ufalme wake kwa gharama ya walipa kodi!!...mwaionaje hii!

Aende kutalii na kukuta nchi ameshachukuliwa na Slaa??!!!ha ha...mwache asindikize uchaguzi!!
 
Naendelea kujifunza kuhusu JK!

Kumbe madaraka ni matamu wakuu!

Jamaa amekata ule utalii na safari zote za Merikani na Ulaya alizokuwa anazifanya kila mwezi, ili kutetea nafasi yake ya uprezidaa!....
Kumbe inawezekana kukaa nchini kwa miezi kadha akitembelea vijiji na kata bila kusafiri na kwenda kupanda mabembea!?

Pia ni masikitiko makubwa kwamba huyu mkuu angelikuwa anamaanisha kuwasaidia wananchi kikweli, hizo helikopta alizonunua ili kufanya kampeni angezinunua mapema akiwa rais ili awafikie watu kirahisi na kuwasikiliza!...Mi naona tendo hilo linamfanya aonekane Mbinafsi zaidi, na kwamba hayuko kwaajili ya watanzania, bali kulinda nafasi na ufalme wake kwa gharama ya walipa kodi!!...mwaionaje hii!

Endelea tu kujifuna na unaacha kujifunza kutokea kwa majirani zako wa EAC na uko nao hapo karibu tu pua na mdomo, JK wako kila kukicha nje ya Africa kuomba misaaada ni uongo mtu mfano mzuri Kenya just check Uchumi wao unavyokuwa na pamoja walipitia machafuko ya wao kwa wao bado wako mahali pazuri Ulisha wahi ona Mwai Kibaki ameenda nje ya nchi zaidi ya Mara 6 tuseme ukweli? hata ukimwesabia haitofika hata kumi kwani jamaa ni mchumi na ana focus hapo kwa uchumi. ndugu yetu baba mkwe wangu JK kutwa kila Jua likizama nje ya nchi na shilling ianporomoka kama nini?

Mwalimu Julias K. Nyerere alisha sema kwenda nje na kuomba misaaada sio ndio njia ya kuwajengea uchumi watu(wananchi) wako, ni wewe ujue ni jinsi gani utaweza wafanyia wananchi wako wajiendeleze wao wenyewe na sio kutegemea pesa ya misaaada.

mfano mzuri ni Kenya tena narudia sema walinyimwa misaaada na nchi kadhaa lakini je mlisikia wame tetereka mahali??

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom