Kumbe Kikwete anaweza kukaa nchini bila kwenda nje

Endelea tu kujifuna na unaacha kujifunza kutokea kwa majirani zako wa EAC na uko nao hapo karibu tu pua na mdomo, JK wako kila kukicha nje ya Africa kuomba misaaada ni uongo mtu mfano mzuri Kenya just check Uchumi wao unavyokuwa na pamoja walipitia machafuko ya wao kwa wao bado wako mahali pazuri Ulisha wahi ona Mwai Kibaki ameenda nje ya nchi zaidi ya Mara 6 tuseme ukweli? hata ukimwesabia haitofika hata kumi kwani jamaa ni mchumi na ana focus hapo kwa uchumi. ndugu yetu baba mkwe wangu JK kutwa kila Jua likizama nje ya nchi na shilling ianporomoka kama nini?

Mwalimu Julias K. Nyerere alisha sema kwenda nje na kuomba misaaada sio ndio njia ya kuwajengea uchumi watu(wananchi) wako, ni wewe ujue ni jinsi gani utaweza wafanyia wananchi wako wajiendeleze wao wenyewe na sio kutegemea pesa ya misaaada.

mfano mzuri ni Kenya tena narudia sema walinyimwa misaaada na nchi kadhaa lakini je mlisikia wame tetereka mahali??

I agree with you that travelling is wastage of money and time if nothing is achievable.
I wouldn't use Kibaki as a role model because he has nothing to tell the world. He is at the centre of anarchy in 2007, ilegitimate leader in state house, senior tribalist and mungiki supporter. I'm sure even devils will not defend his case in any way. Therefore he is not travelling to shun from media and spare himself from embarassing questions he may need to answer.
 
hivi hajaendaa tu Jamaica? Akipata tu safari hii namshauri nchi yake ya kwanza iwe hiyo........

duu kumbe nyinyi ndo mnafikili nchi hii itaendelea kwa kutegemea misaada toka nje, Mi alikuwa ananihuzi sana kwenye speech zake za kila mwezi utasikia

1.nilienda marekani nimepewa mbu net hamsini
2. nimeenda UK nimeahidiwa kujengewa barabara ya km 3
3. nilienda uswisi nikaahidiwa kupewa kujengewa visima 2
eeeti ndo anatetea safari zake za nje hivi mtu mwenye akili timamu unatetea haya jamani, hiv washauli zake ni vilaza kiasi gani mpaka waaachie haya yoote. mwanaume unaeendesha maisha yako kwa kuomba unategemea nini!??
hivi haoni aibu kuomba, naye anakaa mbele za maraisi wenzake akisema nchi yake haiwezi kuendelea bila kusaidiwa!?? huku tanzanite kibao, almasi, dhahabu, milima mikubwa, mito kibao, misitu, ardhi yenye rutuba, Mungu akupe nini mtanzania!!
 
Naendelea kujifunza kuhusu JK!

Kumbe madaraka ni matamu wakuu!

Jamaa amekata ule utalii na safari zote za Merikani na Ulaya alizokuwa anazifanya kila mwezi, ili kutetea nafasi yake ya uprezidaa!....
Kumbe inawezekana kukaa nchini kwa miezi kadha akitembelea vijiji na kata bila kusafiri na kwenda kupanda mabembea!?

Pia ni masikitiko makubwa kwamba huyu mkuu angelikuwa anamaanisha kuwasaidia wananchi kikweli, hizo helikopta alizonunua ili kufanya kampeni angezinunua mapema akiwa rais ili awafikie watu kirahisi na kuwasikiliza!...Mi naona tendo hilo linamfanya aonekane Mbinafsi zaidi, na kwamba hayuko kwaajili ya watanzania, bali kulinda nafasi na ufalme wake kwa gharama ya walipa kodi!!...mwaionaje hii!

Lakini madhara ya kukaa nchini muda wote huu si umeyaona mkuu, damu imezidi kuchafuka na mieleka ya hapa na pale haiishi, mara jangwani mara mbeya, mara sengerema.Habari ndiyo hiyo, parapanda hiyoooooooooo!
 
tatizo mieleka ni kwa ajili ya kulindwa na nguvu za giza kama ilivyowahi kusemwa na mhusika wake mkuu Yahaya
 
Naendelea kujifunza kuhusu JK!

Kumbe madaraka ni matamu wakuu!

Jamaa amekata ule utalii na safari zote za Merikani na Ulaya alizokuwa anazifanya kila mwezi, ili kutetea nafasi yake ya uprezidaa!....
Kumbe inawezekana kukaa nchini kwa miezi kadha akitembelea vijiji na kata bila kusafiri na kwenda kupanda mabembea!?

Pia ni masikitiko makubwa kwamba huyu mkuu angelikuwa anamaanisha kuwasaidia wananchi kikweli, hizo helikopta alizonunua ili kufanya kampeni angezinunua mapema akiwa rais ili awafikie watu kirahisi na kuwasikiliza!...Mi naona tendo hilo linamfanya aonekane Mbinafsi zaidi, na kwamba hayuko kwaajili ya watanzania, bali kulinda nafasi na ufalme wake kwa gharama ya walipa kodi!!...mwaionaje hii!

Mkuu nakuunga =mkono hapo juu. JK mbinafsi sana. Mkapa anaondoka madarakani aliwaambia Watanzania, Mtanikumbuka, kwa mazuri na kwa mabaya. Mimi namkumbuka kwa mzuri zaidi kuliko JK. Hivi kweli kama angekuwa anawapenda wananchi si angezinunua hizo helkopta pindi anaingia madarakani kuliko angengojea kampeni za uchaguzi??
 
duu kumbe nyinyi ndo mnafikili nchi hii itaendelea kwa kutegemea misaada toka nje, Mi alikuwa ananihuzi sana kwenye speech zake za kila mwezi utasikia

1.nilienda marekani nimepewa mbu net hamsini
2. nimeenda UK nimeahidiwa kujengewa barabara ya km 3
3. nilienda uswisi nikaahidiwa kupewa kujengewa visima 2
eeeti ndo anatetea safari zake za nje hivi mtu mwenye akili timamu unatetea haya jamani, hiv washauli zake ni vilaza kiasi gani mpaka waaachie haya yoote. mwanaume unaeendesha maisha yako kwa kuomba unategemea nini!??
hivi haoni aibu kuomba, naye anakaa mbele za maraisi wenzake akisema nchi yake haiwezi kuendelea bila kusaidiwa!?? huku tanzanite kibao, almasi, dhahabu, milima mikubwa, mito kibao, misitu, ardhi yenye rutuba, Mungu akupe nini mtanzania!!
Hivi alienda Jamaika kufanya nini jamani kama siyo kwenda kuvuta Bangi-li? Jamaika na Bongo wapi na wapi utalii upi alienda kujifunza kwani si kuna timu inayoundwa na wizara ya utalii kuhusu masoko ya utalii? duu upele umempata mkunaji.
 
Hapo ndipo imani yangu ilipojikita, Mtu makini na jasiri katika kutenda mambo ndio dawa ya matatizo ya nchi yetu Tanzania.

Hebu tujiulize:-
Kwanini dunia bado inawakumbuka sana watu hawa:- Mwl J K Nyerere, Samora Masheli, Kwame Nkururma, Nelsoni Mandela n.k na wala siyo TANU/CCM, FRELIMO, CPP, ANC n.k?

Ukifikiria kwa makini utagundua kuwa jibu ni rahisi sana
....Ni kwa sababu mabadiliko yenye Mafanikio huanza na hutokana na Ubora, Uwezo, Ujasiri, Umakini na Uimara wa fikra za mtu binafsi na wala si chama, jumuiya wala kikundi fulani. Ndio maana we dare tu say we do not trust JK
 
duu kumbe nyinyi ndo mnafikili nchi hii itaendelea kwa kutegemea misaada toka nje, Mi alikuwa ananihuzi sana kwenye speech zake za kila mwezi utasikia

1.nilienda marekani nimepewa mbu net hamsini
2. nimeenda UK nimeahidiwa kujengewa barabara ya km 3
3. nilienda uswisi nikaahidiwa kupewa kujengewa visima 2
eeeti ndo anatetea safari zake za nje hivi mtu mwenye akili timamu unatetea haya jamani, hiv washauli zake ni vilaza kiasi gani mpaka waaachie haya yoote. mwanaume unaeendesha maisha yako kwa kuomba unategemea nini!??
hivi haoni aibu kuomba, naye anakaa mbele za maraisi wenzake akisema nchi yake haiwezi kuendelea bila kusaidiwa!?? huku tanzanite kibao, almasi, dhahabu, milima mikubwa, mito kibao, misitu, ardhi yenye rutuba, Mungu akupe nini mtanzania!!

Penye miti hapana wajenzi broda!

Rasilimali za nchini hawaziongelei maana hizo ni kwaajili yao na familia..Huoni akina Ben Mkaahapa kujichukulia Kiwira coal mines, huoni mambo ya Alex Stuwart, Huoni Bilila Lodge Serengeti?.
 
Wakati Rais Kikwete akibembea, mwenzake Rais Bingu wa Mutharika wa Malawi, aliamua kutokwenda nchini Trinidad na Tobago kuhudhuria Mkutano wa Jumuiya ya Madola ili kuokoa fedha za nchi yake
 
Wananchi wanapaswa kuelewa kuwa hii ni danganya toto. Kura asipate
Lukuvi mbungge wa jimbo la Isiomani anza kujishushia heshima kitenda cha kuwa danganya wapiga kura anza kupanga serikali hata kabla ya uchaguzi ,ajihakikishia ccm kushinda ,huku ameshindwa kujibu hoja za mgombea wa ubunge kupitia tiketi ya chadema mchungaji peter msigwa ,kwamba mbunge huyo ameshindwa kutatua tatizo la njaa kwa wapiga kura wake ,amekuwa akitengeneza njaa kama mtaji wa kumchagua baadala ya kutafuta sululuhisho la kudumu.
hoja nyingine kuhusu elimu yake ameshindwa kuitolea ufafanuzi wake ya ufisadi wa elimu badala yake anajiongezea sifa kuwa alienda nchini uingereza kusomea maswala ya uendeshaji wa bunge sasa hivi ni kweli aliwahi kwenda huko ama ni kutaka kuwaibia kura wapiga kura .

katioka kampeni za kumnadi bi monica mbega ambaye hata watafute sabuni ya aina gani hawezi kutakata ,nafurahi watanzania sasa wana mwamuko wanapuza kauli za chama sisiemu .

sisiemu bado wana kauli ile ya chagua chama hata kama mgombea wao ni zezeta wanatuona watanzania ni wajinga pole sana makamba na

mwakalebela amefikishwa mahakamani kwa kosa la kutoa hongo Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa imekaakimya kwa bi monica mbega anaeendelae kutoa hongo za kanga kwa wapiga kuta huko kata ya mtwivila mmehongwa wana pccb semeni msione watu wengine
 
Wananchi wanapaswa kuelewa kuwa hii ni danganya toto. Kura asipate
huyu jama anazdi kuahidi kujenga hospital za rafaa nyingine ,wakati hata dawa kwenye vituo vya afya hakuna akijenga hizo rufaa atawanywesha watu samadi ama mikojo yake
 
jamani chadema si walishatuambia kuwa anaendaga kubadilisha damu? Sasa mnahangaika nini, si kila baada ya miezi mitatu?, na alijikoki kabla ya kampeni kuanza, so miezi mitatu si bado? Hata akipata, hizo safari zake haziwezi kuisha, wa kuzimaliza hizo safari ni sisi wananchi kwa kupiga kura kuchagua upinzani. (vote for slaa)
 
Hivi alienda Jamaika kufanya nini jamani kama siyo kwenda kuvuta Bangi-li? Jamaika na Bongo wapi na wapi utalii upi alienda kujifunza kwani si kuna timu inayoundwa na wizara ya utalii kuhusu masoko ya utalii? duu upele umempata mkunaji.
Utalii wa kubembea hasa unapojifunza kwa vitendo,,,lol
 
huyu jama anazdi kuahidi kujenga hospital za rafaa nyingine ,wakati hata dawa kwenye vituo vya afya hakuna akijenga hizo rufaa atawanywesha watu samadi ama mikojo yake

Mkuu hospital za rufaa hajengi wala hazitajengwa! anachukua za kanisa.amezitaja kuwa ni Saint saint nakuendelea.
Serekali yake na ccm hawawezi jenga kitu kama hiyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom