Kumbe Kikwete Alianguka Pia 1997 Ubelgiji?

Kumbe Kikwete Alianguka Pia 1997 Ubelgiji?

Superman

R I P
Joined
Mar 31, 2007
Posts
5,693
Reaction score
1,707
Akiwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, JK aliwahi kuzidiwa ghafla uwanja wa ndege wa Brussels nchini Ubelgiji akiwa njiani kuelekea nchini Cuba, hali iliyosababisha alazwe kwa saa kadhaa kabla ya kuruhusiwa kuendelea na safari.

Source: Tanzania Daima: 25th August 2010.

My take:

Kama habari hii ni ya kweli, Ni vema wanaoangalia afya ya Rais wakatafuta ufumbuzi wa kudumu wa tatizo hili, la sivyo litazidi kujirudia.

Kuna habari pia JK ana maumivu kidogo ya shingoni ambayo huenda aliyapata akiwa kijana kutokana na tukio kwenye Michezo au Mafunzo ya Kijeshi (Mwanahalisi; 25-31 August 2010). Ni vema wahusika waweke bayana pia ili wananchi wake wajue.
 
😛anda::help: him
 
Na kama rais mwenyewe hata kusikiliza ushauri wa wataalamu wa afya?
 
mmh! kama watu wengine hawashauriki utafanyaje!!!:sick::mod:
 
Kama hashauriki mwacheni aendelee kufedhehesha taifa kwa kuwa na kiongozi anayeanguka anguka ovyo na kupoteza fahamu. Siku nyingine ataanguka mbele ya ugeni wa kitaifa au ataanguka na apitilize na sijui nini kitasemwa hapo.
 
Source:
Why should heads of state collapse in public? « Let's Face It
Why Should Heads of States collapse in Public?

AS a norm, heads of state never allow themselves to collapse or fall down
in public, because it is a sign of weakness. But in the last few months,
two of them – one in Europe, another in Africa – have been a rare
exception.

President Nicolas Sarkozy of France collapsed when jogging in late July
this year, causing serious security concerns and embarrasment to the
French public and government, which issued a statement citing fatigue
linked to a large workload. This week, on the first Sunday of October
2009, Tanzania’s President Jakaya Kikwete, followed suit.

He collapsed and cut short his speech to thousands of people attending the
African Inland Church (AIC) Centenary Jubilee celebrations at the CCM
Kirumba Stadium in Mwanza City, on the shores of Africa’s largest lake,
Victoria. Security people rushed him into a private room where he was
quickly attended to, given a brief rest, then released to join panicking
bishops and other dignitaries on the stage, as the crowd quietly observed
one of the rarest happenings, and others silently prayed for his quick
recovery.

When he was finally seated, he was quick to comment: “it’s my fault; my
aides advised me to rest after a long trip and busy schedule but I ignored
them. Next time I will listen to what they tell me.” But the damage was
done and questions raised about his health stability and the seriousness
of his assistants in managing his official and personal undertakings
without risking national panic and chaos.

Although the State House Directorate of Comunications issued a quick
statement citing the president’s fatigue after a long trip from the US and
a heavy workload; and the President’s Personal Office promised looking
into rescheduling his programme to give him a breathing space, questions
about his medical fitness remained unanswered. This was Kikwete’s third
collapse in public, in 12 years.

Once, as minister for foreign affairs and international cooperation, he
collapsed at Brussels airport on his way to Cuba. He was hospitalised for
eight hours before he regained strenghth to continue with his trip.

As a presidential candidate in 2005, he collapsed on stage one day before
the polling day as he gave his last speech at a public rally in Jangwani
grounds, in Dar es Salaam City, in front of the media, the crowd and
dignitaries including former presidents Ali Hassan Mwinyi and Benjamin
Mkapa. It was a shocking event, as he fell down from the stage, and
security people rushed him to a military hospital in Dar es Salaam.

When he recovered later, he spoke to the media citing campaign fatigue. He
added that he had spent the whole day fasting. Much as many people felt
sympathetic for him, the explanation was not strong enough to dispel
public fears and queries about the soundness of his health. Again, it was
not clear why his assistants would let him fast on such a busy day –
although shortly before he fell down, he had been sipping water as he
addressed the rally.

One understands that on all occasions, he must have been the most affected
and embarrassed individual; but it is obvious neither he nor his
assistants learnt any lesson. Yes, the president has had a long trip to
the US, then back to Tanzania where he officiated at the 55th Commonwealth
Parliamentary Association conference in Arusha, before going to Mwanza.

But this is not enough explanation in a country where most of his people
work longer hours and harder than he does; they sleep fewer hours, eat a
less-balanced diet once a day, earn below one dollar a day, face the risk
of diseases and hunger throughout the year; and yet they manage to stay
firm and going. Given the baby-like previledges he enjoys as president,
with all material and human facilities surrounding him, he should be last
person to cite fatigue as an excuse for collapsing in public.

After all, why should tax payers’ money be spent on the president’s aides
who do not do their job properly? And why shouldn’t someone take
responsibility for this failure? But most importantly, doesn’t the
president’s office think the public need to know the state of their
president’s health, especially now that he has repeatedly collapsed and
fallen down before their very eyes?

Thanks to public pressure, the president’s personal medical practitioner,
Dr. Peter Mfisi, has ultimately given an official statement insisting the
president has no serious medical problem – which he cannot reveal anyway,
even if it existed - but we still need to read between the lines
revelations that the president has constantly been troubled by a cervical
spinal complication and an increase in levels of blood.

Interestingly, one sentence stands out in Dr. Mfisi’s statement: “we have
learnt a lesson, and we pledge to be more careful…” One hopes it is not a
politically driven statement.

But the only way for us to take the president’s people seriously, if they
have truly learnt a lesson, is if they will never again embarrass the
president by letting him collapse in public. Not for the fourth time.
 
Kama hashauriki mwacheni aendelee kufedhehesha taifa kwa kuwa na kiongozi anayeanguka anguka ovyo na kupoteza fahamu. Siku nyingine ataanguka mbele ya ugeni wa kitaifa au ataanguka na apitilize na sijui nini kitasemwa hapo.

Kamanda;

Maneno yako yanaonyesha hisia kali sana. Tumwombee pia ni Kiongozi wetu sote. Ama?
 
Source:
Why should heads of state collapse in public? « Let's Face It
Why Should Heads of States collapse in Public?

AS a norm, heads of state never allow themselves to collapse or fall down

President Nicolas Sarkozy of France collapsed when jogging in late July
this year, causing serious security concerns and embarrasment to the
French public and government, which issued a statement citing fatigue
linked to a large workload. This week, on the first Sunday of October
2009, Tanzania's President Jakaya Kikwete, followed suit.

there mighty be similarities in these two
 
Source:
Why should heads of state collapse in public? « Let's Face It
Why Should Heads of States collapse in Public?

. . . . . . . .

Once, as minister for foreign affairs and international cooperation, he
collapsed at Brussels airport on his way to Cuba. He was hospitalised for
eight hours before he regained strenghth to continue with his trip.
. . . . . .

Thanks to public pressure, the president's personal medical practitioner,
Dr. Peter Mfisi, has ultimately given an official statement insisting the
president has no serious medical problem – which he cannot reveal anyway,
even if it existed - but we still need to read between the lines
revelations that the president has constantly been troubled by a cervical
spinal complication and an increase in levels of blood.

Pole sana Rais wetu JK. Sasa iweje wewe ni kiongozi wetu lakini suala la afya yako linafanywa ni siri?
 
Ni ukakika hata Othaman Rashidi anajua ila kwa sasa ni confidential.

Du; Mkuuu kama hii ni uhakika nayo, basi ninao wasiwasi sana wasaidizi wake wasije wakasababisha kibaya kikamtokea. Kwa maoni yangu, afya ingepewa kipaumbele, mengine yafuate.
 
Ni ukakika hata Othman Rashidi anajua ila kwa sasa ni confidential.

Rev. Kuna siku kwenye ile post ya "jk aanguka jangwani" ulitema sumu naomba uianzishie thread maana bado watu hawaelewi wanaulizana tu! Ondoa utata japo ni classfied
 
Rev. Kuna siku kwenye ile post ya "jk aanguka jangwani" ulitema sumu naomba uianzishie thread maana bado watu hawaelewi wanaulizana tu! Ondoa utata japo ni classfied

Mkulima; seconded!

Hakika kama kuna facts zaidi itasaidia kuweza kupata jawabu la maswali magumu ambayo wananchi bado wanajiuliza.
 
Mkulima; seconded!

Hakika kama kuna facts zaidi itasaidia kuweza kupata jawabu la maswali magumu ambayo wananchi bado wanajiuliza.

rev. Anafahamu pitia hiyo thread jukwaa la uchaguzi kule mambo yaliwekwa hadharani!
 
Again, it was not clear why his assistants would let him fast on such a busy day –
although shortly before he fell down, he had been sipping water as he addressed the rally.

Si mara nyingi nikasifia waandishi wa habari Tanzania, lakini hii habari imeandikwa kwa kina, imefanyiwa utafiti, kwa kweli ina habari kwa maana inaniambia vitu ambavyo nilikuwa sivijui.

Kwa mfano hicho kipande nilichonukuu hapo juu, kwa hiyo Kikwete alikunywa maji kabla ya kuanguka, na hizi habari za kwamba Kikwete anaanguka kwa sababu ya kufunga ni uongo ?

Rais wetu ni muongo muongo tu ? Kama kadanganya kwa hili mengine makubwa mangapi kadanganya ?
 
Kiranga; habari hiyo uliyoinukuu ilikuwa inaongelea alivyoanguka AIC 2009.
 
Back
Top Bottom