fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,023
- 5,000
Ok ,uliangalia clip ??Nyie acheni mawazo mgando! Huyo mpambe wa Mh Rais ni Kanali tu, Afande IGP & CGP ni wakubwa mbali sana kwa huyo mtu.....Kamwe haitatokea IGP AU CGP akutane na KANALI wa jeshi ampigie Saluti.....Huyo kanali kwa polisi ni sawa na ACP,