weka picha!!!Nimefurahi kufika ktk jiji hili kwani nilikua nikilisoma kwenye ramani na vitabu.nimekubli jiji hili ni zuri la kuvutia,wenyeji wa jiji hli ni wasukuma but pia kuna mchanganyiko wa kabila nyingi.pia utalii wa kutosha nawashukuru wenyeji kwa kunitembeza pia wana JF karibu ktk jiji hl hakika mtaenjoy.
Nimefurahi kufika ktk jiji hili kwani nilikua nikilisoma kwenye ramani na vitabu.nimekubli jiji hili ni zuri la kuvutia,wenyeji wa jiji hli ni wasukuma but pia kuna mchanganyiko wa kabila nyingi.pia utalii wa kutosha nawashukuru wenyeji kwa kunitembeza pia wana JF karibu ktk jiji hl hakika mtaenjoy.

Ebwana kama utakua umeondoka zamani bc hutopenda kuondoka mwenyewe nafanya mpango wa chumba na biashara zangu ziamie hapaMwanza nitarudii tenaaa ehhhh...........
Mwanza ni kuzuri eeeeeh.....................
Mwanza ni jiji zuri sana.
Usiondoke bila kwenda MALAIKA BEACH RESORT!.....
Hapana cjakwenda kikazi niko kwa mapumziko ya krismas unajua nimechagua mkoa huu ili krismas iwe njema na nikaona nije mapema ili nipate muda mwingi wa kulijua jiji.But jiji hili nimeambiwa kuna wale watoto wa mitaani(chokolaa)wale wanatishia amani kwa wageniVilla Park kuna samaki wa kuchoma bei poa tu 7,000.
Ukiachana na uhaba wa miundombinu Mza pana hali ya hewa nzuri sana uklinganisha na Daslam.
Inapendeza kuendeleza utalii wa ndani kama ulivyofanya hata kama umeenda kikazi