Kumbe JIJI LA MWANZA (THE ROCK CITY)ZURI HIVI!!

Liverpool

Member
Dec 8, 2010
29
0
Nimefurahi kufika ktk jiji hili kwani nilikua nikilisoma kwenye ramani na vitabu.nimekubli jiji hili ni zuri la kuvutia,wenyeji wa jiji hli ni wasukuma but pia kuna mchanganyiko wa kabila nyingi.pia utalii wa kutosha nawashukuru wenyeji kwa kunitembeza pia wana JF karibu ktk jiji hl hakika mtaenjoy.
 
weka picha!!!
 
umeziona zile nyumba kwenye milima?
 
Nimefurahi kufika ktk jiji hili kwani nilikua nikilisoma kwenye ramani na vitabu.nimekubli jiji hili ni zuri la kuvutia,wenyeji wa jiji hli ni wasukuma but pia kuna mchanganyiko wa kabila nyingi.pia utalii wa kutosha nawashukuru wenyeji kwa kunitembeza pia wana JF karibu ktk jiji hl hakika mtaenjoy.

Mwanza nitarudii tenaaa ehhhh...........
Mwanza ni kuzuri eeeeeh.....................
 
Mwanza kuko bomba, Kunahitaji tu leo viongozi imara ili kufanya liwe jiji la ukweli,
Bado kuna shida kubwa ya miundo mbinu na hasa barabara,
 
Mwanza.jpg

PPF PLAZA-MWANZA

MAJENGO%2520MAPYA%2520NSSF%2520PLAZA%2520-%2520MWANZA%5B1%5D.jpg
NSSF Plaza
 
Nakubaliana na wewe upande moja lakini uzuri wa mahali unasababishwa na vitu vingi
1. Umeenda kwa shughuli ipi, bishara, utalii, kusalimia jamaa, kuangalia mgonjwa?
2. Umepita maeneo gani? city centre, mabatini, nyegezi?
3. Mfukoni pakoje
4. Usafiri-daladala? teksi? self drive
5 nk nk nk

Anyway kama ulifurahi saafi
 
Mwanza hata kama huna hela tafuta ndoano na Chambo kidogo tega samaki utapata pesa.
 
Jiji la Mwanza ni zuri kwenye downtown pekee.
Ni pale PPF,NSSF,Mitaa ya Uhuru kidogo,Nyerere,Rwagasore nk Lakini ukienda Mabatini,Nyanshana,Kilimahewa,kirumba na maeneo mengine utashangaa sana.

Je Umetembelea mtaa wa vitunguu hapo Mwanza,upo barabara ya Nyerere au Musoma Road nyuma ya benki,Fika hapo mida ya saa 2,3 au 4
 
Usiondoke bila kwenda MALAIKA BEACH RESORT!.....

Villa Park kuna samaki wa kuchoma bei poa tu 7,000.
Ukiachana na uhaba wa miundombinu Mza pana hali ya hewa nzuri sana uklinganisha na Daslam.

Inapendeza kuendeleza utalii wa ndani kama ulivyofanya hata kama umeenda kikazi
 
Hapana cjakwenda kikazi niko kwa mapumziko ya krismas unajua nimechagua mkoa huu ili krismas iwe njema na nikaona nije mapema ili nipate muda mwingi wa kulijua jiji.But jiji hili nimeambiwa kuna wale watoto wa mitaani(chokolaa)wale wanatishia amani kwa wageni
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom