Kumbe inaruhusiwa...hii eeeh

Kumbe inaruhusiwa...hii eeeh

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
47,549
Reaction score
101,684
kuswali na Viatu
attachment.php
 

Attachments

  • 10297738_523249281112335_6866221352441320556_n.jpg
    10297738_523249281112335_6866221352441320556_n.jpg
    54.7 KB · Views: 2,376
Wavue wakati kwa mbali unamuona mjomba anadarubini saa yoyote kinanuka.
 
Wakisikia mlio wa ndege za US wanasitisha swala na kuokota hayo makitu yaliyosimamishwa hapo mbele yao
 
Ina maana hawamuamni 'mungu' wanayemuomba kuwa anaweza kuwalinda...wanaamini binadamu wenzao watawalinda wakati wao wakiswali!?
 
Mlango wa nyumbani kwako,kiongozi,huwa unauwacha wazi ili mungu wako akulindie?Kumbuka milango ya makanisa yote na misikiti inafungwa,hawamuachii mungu wao ailinde.

Wrong...kanisani kwangu milango iko wazi 24/7! Anytime anyone can drop and say a prayer..
 
Wrong...kanisani kwangu milango iko wazi 24/7! Anytime anyone can drop and say a prayer..
Wacha kufunga mila go,makanisa yote yana walinzi wa makampuni ya ulinzi,kwa nini msimwachie mungu wenu alinde kanisa.
 
Wakisikia mlio wa ndege za US wanasitisha swala na kuokota hayo makitu yaliyosimamishwa hapo mbele yao

Yule pembeni anapiga chabo kwenye darubini, wenzake wanaenda akhera! Akili za kuambiwa....
 
Wacha kufunga mila go,makanisa yote yana walinzi wa makampuni ya ulinzi,kwa nini msimwachie mungu wenu alinde kanisa.

Makanisani kuna properties, waumini hatohofii usalama wetu kwa sababu tumesalimisha kwa mungu. Hawa jamaa wanahofia usalama wao...Mungu wao hana uwezo wa kuwalinda!
 
Wapo nchini kwao na wana haki ya kuilinda kwa hali yoyote, hao wamerakani tamaa ya heroine ndio inawapeleka huko, kunyanyua uchumi mpaka unga. Na kuswali na viatu ni rukhsa ukiwa vitani utajua hata kama huna dini
 
coalitions of cowards!!!
_wangekuwa sio waoga wangetangaza vita na kupigana kama vidume wengine kuliko hii ya kuvizia vizia!!
i hate you alshababu
 
Wacha kufunga mila go,makanisa yote yana walinzi wa makampuni ya ulinzi,kwa nini msimwachie mungu wenu alinde kanisa.

lazima waweke ulinzi kwani mbali ya hilo gengo la kanisa kuna mali nyingi kama vifaa vya mziki nk...
huwezi fananisha na jamaa zetu amabao kuna mikeka na ile nani hii ya kubebea maiti...
 
Kwani ni hili tu? Mbona kila kitu ruksa? Mengine zuga tu!!!!!
 
Wacha kufunga mila go,makanisa yote yana walinzi wa makampuni ya ulinzi,kwa nini msimwachie mungu wenu alinde kanisa.

Ukusikia habari ya wale "wahuni" wa mbagala walienda kuoba vifaa vya muziki kanisani na kuyachoma moto?!

Sasa kwanini kanisani wasiweke walinzi kwa ajili ya watu kama hao!
 
Back
Top Bottom