Kumbe ilikuwa zuga

Kumbe ilikuwa zuga

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,087
1445406643304.jpg
 
Hahaaa kweli sanaa ukiijuwa ni raha sana
Jamaa anaishi kisanii kama walivyo watanzania wengi tu hapa mjini
 
Bado siku 4 para para Mshana Jr ....atanyooka tu...kama sio kubadilisha AVTAR...

The new SHERRIF WILL BE IN TOWN FOR three Days
 
mshana umetupotosha! kichwa kipo attached kwenye mwili usio wake na havina uwiano A. K. A pichaduka(photoshop)
 
mshana umetupotosha! kichwa kipo attached kwenye mwili usio wake na havina uwiano A. K. A pichaduka(photoshop)

Yuu must be kidding. ..hili ni tukio la mtongani yale maandamano ya kuelekea mbagala hii sio photoshop
 
No matter how much i try,nashindwa kuamini suala la prof. kupewa hongo.Nadhani ni maamuz na dhamira kama alivyosema,sio kama yule aliyepewa data na pesa za kula mihogo(Dr.Slaa).Nadhani baraza la mawaziri litawajumuisha LIPUMBA,MAGUFULI.
 
Alikuwa zuga kwa nani sasa? Ujue tatizo watu hupigania maslahi ya viongozi wao bila kujua halafu wanaambiwa hayo ndiyo matakwa yao,kwa stairi hii kila siku tutawaona watu wasaliti.
 
Back
Top Bottom