hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,117
Urithi upi!? Kutekana kuuwana .kuzalisha chuki baina ya watu wa kundi hili na lile ,Kama JPM alikuwa mpigaji, basi tunahitaji wapigaji wa aina hiyo kwa sababu wanatuachia urithi tunaouona kwa macho yetu!
Kuwaaminisha Umma kuwa Nchi inajengwa kwa pesa za ndani kumbe taifa linadaiwa deni kubwa ambalo halijawahi kutokea !? Kuwagawa watanzania kwa ukanda na ukabila .. kuikanyaga Katiba ya Nchi na sheria , . Hayo ndio uliyokuwa unataka tuyaige !?