Kumbe Hata Rais wa Kambo Aweza Kuwa Noma Kama Baba au Mama wa Kambo

Yeye hajui, lakini sisi wengine tunajua mnachokitafuta kwake. Atajua haya mapambio yenu yalikuwa na maana gani, baada ya operations za upigaji kufufuka na kutamalaki tena!

Kwani upigaji chini ya Magufuli ulioandoka mpaka useme utafufuka? Sema wapigaji watakuwa wengine mbali ya sukuma Gang.
 
Kwanini unamuita mama wa watu Samia kuwa Rais wa kambo? Ukambo wake unasababishwa na uzanzibari wake au utofauti wake na baadhi ya mambo ya JPM?
Hawa umbwa mataga wanamuandama sana mama yetu kipenzi.Sababu kubwa ni roho yake njema ya kukomesha mfumo wa kishenzi uliotamalaki miaka sita ikiyopita,Hawataweza Mungu atampigania Samia.
 
Raisi wa kambo?!! Wakati katika ballot paper walikuwepo wote 2. Mamilioni ya wapiga kura waliichagua CCM kwasababu ya uwepo wa picha yake katika ballot paper. Acha ujinga wewe!!!

Ulielewa ulichokuwa unachagua? Ulichagua Rais na VP. Yeye alichaguliwa kuwa VP. That’s why hajawahi kuwa VP wa kambo!
 
Kwani upigaji chini ya Magufuli ulioandoka mpaka useme utafufuka? Sema wapigaji watakuwa wengine mbali ya sukuma Gang.

Kama JPM alikuwa mpigaji, basi tunahitaji wapigaji wa aina hiyo kwa sababu wanatuachia urithi tunaouona kwa macho yetu!
 
Kama alikuwa mpigaji, basi tunahitaji wapigaji wa aina yake kwa sababu wanatuachia urithi tunaouona kwa macho yetu!
Kabisa, tunahitaji wapigaji wengi km Magufuli. Hawa wanaoshia kuonyesha ufisadi wa kwenye makaratasi tupa kule shenzi taipu!!!
 
Kwanini unamuita mama wa watu Samia kuwa Rais wa kambo? Ukambo wake unasababishwa na uzanzibari wake au utofauti wake na baadhi ya mambo ya JPM?
ha..ha.ha...haa. kwasababu hakukuwa na uchaguzi juu ya nafsi yake
 
Kama JPM alikuwa mpigaji, basi tunahitaji wapigaji wa aina hiyo kwa sababu wanatuachia urithi tunaouona kwa macho yetu!

Hata wakoloni walikuwa wanapora raslimali zetu na wakatuachia urithi tuliouna kwa macho, je kwanini tulitaka waondoke?
 
U-turn signals za Rais wa kambo wa JMT zimesababisha mawimbi ya unafiki kutamalaki miongoni mwa viongozi wanaotokana na chama tawala (CCM)!

U-turn signals alizotuma Rais wa kambo bila shaka zimekuwa encouragement kubwa sana kwa Speaker Ndugai, kwa mfano, kurudia dili lake la Bandari ya Bagamoyo, ambalo aliamua kulitelekeza enzi zile za Rais asilia wa JMT, Hayati JPM.

Kadri siku zinavyokwenda ndivyo wasiwasi unavyozidi kuongezeka juu ya utashi na uwezo wa Rais wetu wa kambo kuitafsiri na kuitekeleza ilani ya chama chake (CCM) ya 2020-2025.

Bahati mbaya sana, CCM yenyewe sasa iko katika hali tete kuliko wakati mwingine wowote, kwa sababu ya leadership vacuum kwenye ngazi ya taifa. Hiki ni kipindi ambacho viongozi wanaotokana na CCM walipaswa kuwa makini kuliko kipindi kingine chochote.

CCM ina uamuzi mgumu wa kufanya. Inabidi ichague kuishi au kuishia. Kuchagua kuishi maana yake kuchagua kuendelea kusimamia utekelezaji wa ilani yake bila kuyumba. Kuchagua kuishia ni kuchagua ni kuweka pembeni ilani yake na kukumbatia U-turn signals ambazo Rais wa kambo na baadhi ya viongozi wengine wazituma. Hakuna namna ambayo chaguo la kuishia litaiacha CCM salama. Mwaka 2025, CCM lazima ipoteze ridhaa ya kuongoza taifa hili.

Chaguo ni lenu CCM. Chagueni kuishi au kuishia!
Naona bado unahangover!

Tafuta malimao upoze kidogo.

CCM ni madhubuti na itaendelea kuwa madhubuti. Hivi karibuni tunaenda kumkabidhi uenyekiti wa chama mama yetu kipenzi,mpenda haki Mh Samia Suluhu Hassan.

Kazi inaendelea.....
 
Sa

Safari hii hii uchaguzi ni mgumu sana kwa CCM iwapo wataenda na wimbi hili la kujaribu kupoteza legacy yote ya JPM.Warejee hotuba za Rais wa Malawi, Botswana kwenye kuaga mwili wa hayati Dodoma. Zilibeba ujumbe wa maonyo makubwa. Twende kwa tahadhali sana kuhusu U turn zetu.
Uchaguzi upi?

Naona bado mnahangover!

Mwacheni mama yetu aongoze nchi bila kumuingilia. Hiyo legacy ya udikiteta haitaki. Period.
 
No one should condone hypocrisy and betrayal by a leader of this magnitude!

During the Biblical times of the Israelites’ journey to Canaan, The Israelites tapped Joshua to replace their deceased leader, Moses. Joshua led the Israelites faithfully.

Unfortunately, our Joshua is constantly sending U-turn signals. We simply cannot stomach this kind of hypocrisy and betrayal!
 


Inasikitisha mno haya yanafanyika ndani ya nchi yetu Tanzania.
 
Kama alikuwa mpigaji, basi tunahitaji wapigaji wa aina yake kwa sababu wanatuachia urithi tunaouona kwa macho yetu!
Urithi wa kuongezeka deni la Taifa ambalo hata wajukuu wetu hawatalimaliza!

Hakika Mungu ni mwema kutuondolea shetani mtu.
 
Naona bado unahangover!

Tafuta malimao upoze kidogo.

CCM ni madhubuti na itaendelea kuwa madhubuti. Hivi karibuni tunaenda kumkabidhi uenyekiti wa chama mama yetu kipenzi,mpenda haki Mh Samia Suluhu Hassan.

Kazi inaendelea.....

Itelekezeni ilani ya chama chenu muone kama mtakatiza 2025!
 
Angeamua kufuata nyayo za mtangulizi wake hili jina lisengemhusu.Tatizo kajifanya mjuaji.
Kwani lazima !?

Kajifanya mjuaji kwa kufichua Wizi wa Meko !? Mlitaka akae kimya afiche madudu yake wakati Taifa limeibiwa !?
 
Back
Top Bottom