Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,831
Mpaka GSM๐๐๐๐๐Lakini ana hela kutuzidi wote
Mpaka GSM๐๐๐๐๐Lakini ana hela kutuzidi wote
Mmh sijuiMpaka GSM
Kwa hiyo usiseme wote..hata hao mashua wako humu๐๐๐๐Mmh sijui
Umasikini una sauti nyingi kama za ndege nyikaniMara fake mara si yake yani vurugu tupu
Full taflaniWatu wanapata tabu na Mali za mtu mwengine hii ni hatari sanaaaa
Wala sio ushamba, hizo exhibition zote unazoona anazifanya mond ni katika kuhakikisha ana maintain his fame, ambayo ni nzuri kwa afya ya kazi yakeDomo ana tatizo ndani ya akili, hivi kwanini anapata sana tabu na walala hoi? anashindana na nani kulazimisha ku prove kuwa yeye ana pesa? kulikua na haja gani mpaka Bill of Lading ya hiyo gari yaka ikafika mitandaoni? Jama ni mshamba mno wa kiwango cha SGR
Mkuu ebu tusaidie kampuni inasaidia vp kupunguza ushuru?! Kwa makanisa, misikiti na non profit organization zilizojikita kwenye humanitarian aids hzo usamehewa kodi ya forodha.Ile si V12 mbona hapo mnasema V8.. pia kwakua ni mlipa kodi mzuri kuingiza kwa kutumia company inamsaidia kwenye kupunguza gharama za ushuru.. hata makanisa hufanya hivyo
Unafuu wa mlipa kodi mzuri unapatikan vipi ktk kulipa kodi ya forodha?! Na wanaokwepa kodi kwa kupitisha magari kwa kupitia makanisa ama misikiti shida inayokuja ww unayefanya hvyo unakuwa sio mmiliki halali coz kadi ya gari itasoma jina la kanisaUpo sahihi, exemption. Nilichanganya kidogo kwa kulinganisha. Ila mfanyabiashara ambae ni mlipa kodi mzuri inakuwa nafuu sana. Maana yangu kwa kanisa, watu siku hizi wanapitishia gari za thamani kupitia huko kukwepa tozo
kuna sehemu nimeelezea hii kitu huko juu, ni kwamba ikiwa km mali ya kampuni kodi inayokatwa inakuwa ya jumla kwa assets zote zilizo chini ya kampuni husika, tofauti na ukinunua wewe km ww, kodi ya ushuru itakuwinda kwa hilo gari moja tu!Mkuu ebu tusaidie kampuni inasaidia vp kupunguza ushuru?! Kwa makanisa, misikiti na non profit organization zilizojikita kwenye humanitarian aids hzo usamehewa kodi ya forodha.
Sijui ulitafsiri vp neno wote mimi nilimaanisha yeye na mimiKwa hiyo usiseme wote..hata hao mashua wako humu
Nyie si ndio mlikuwa mkimdiss asichukue tuzo ya BET mkiongozwa na Lema na wale madada fyatu wa Twitter..!?
Imekuaje tena unaanza kulamba matapishi hata mwezi haujaisha!???
We umeishia la ngapi? Tasnia ya mziki unaijua kweli , ? Unajua nini kipo nyuma ya pazia Mzee ..Domo ana tatizo ndani ya akili, hivi kwanini anapata sana tabu na walala hoi? anashindana na nani kulazimisha ku prove kuwa yeye ana pesa? kulikua na haja gani mpaka Bill of Lading ya hiyo gari yaka ikafika mitandaoni? Jama ni mshamba mno wa kiwango cha SGR
Yaani wabongo ni wataalam wa kila kitu, jiridhisheni basi kabla ya kuandika kitu kisichokuwa kweli. Kununua kitu kwa ajili ya hanasa/luxury haikupi nafuu yoyote ya kodi iwe kwa kampuni au mtu binafsi, tena ndio unalipishwa zaidiHakuna cha ajabu hapo. Matajiri wakubwa hawanunui magari au mali zozote kwa majina yao, wanatumia majina ya kampuni zao ili kupunguza kodi na gharama zinginezo
Nimeleewesha nilichokuwa na maanisha, kuna watu kwakua ya msaha wa kodi wanapitishia magari kanisani, na kwa kampuni ambazo walipa wazuri wa kodi wana unafuu flani.. ukiwa mtu wa Tax au kama ni mfanya biashara utakuwa umenielewaAcha kusema uongo, makanisa yana msamaa wa kodi lkn sio kwa kampuni za kibiashara
Mkuu bado hujanijibu unafuu wa kulipa kodi ya forodha unapatikana vp kwa mali iliyonunuliwa kupitia kampuni. Ukizungumza Assets za kampuni ni vitu kama Majengo, thamani, magari, pikipik na kadhalika sasa hizo zina effect gani ktk ulipaji wa kodi ya forodha?! Kodi ya forodha ni kodi inayokatwa kwa kuingiza bidhaa yoyote kutoka nje ya nchi kulingana na thaman yake regardless kwamba imeingizwa na kampuni ama mtu binafsi. Sasa kama mali imengizwa nchini na kampuni huo unafuu wa kulipa kodi ya forodha unapatikana vp kulinganisha na mali iliyoingizwa na mtu binafsi ?kuna sehemu nimeelezea hii kitu huko juu, ni kwamba ikiwa km mali ya kampuni kodi inayokatwa inakuwa ya jumla kwa assets zote zilizo chini ya kampuni husika, tofauti na ukinunua wewe km ww, kodi ya ushuru itakuwinda kwa hilo gari moja tu!