Kumbe freemasons ni watu poa sana!

Kumbe freemasons ni watu poa sana!

Mbona Familia ya Chande haikuisha?
Inatakiwa ujue wale wana kawaida ya kutafuta watu wanaowataka kulingana na mvuto na mng'ao wa nyota zao, hawachukuagi watu wa kawaida kumbuka na utaratibu uko hivi kama wakikufata wao masharti yako ni nafuu na ni tofauti ya yule aliyejipeleka mwenyewe ambaye walikuwa hawana mpango nae, ingawa hawakukatai ila hayo masharti yake ni magumu tofauti na waliyemtafuta wao na ukijipeleka mwenyewe humalizi 5 years unatangulia kama Sharomilionea kuanza kuvuna ulichopanda[emoji2960] na ndio hawa huwa wanaponza sana ndugu zao kwa sababu ya mkataba alioingia na shetani kumkabidhi kila kitu chake wakiwemo watu wa damu yake, hao kina chande ni tofauti na kina kanumba... Ila ngoja niishie hapa nisije mwaga kuku kwenye mchele wengi [emoji16][emoji23] .Maana wabongo nawajua. Ila si umepata picha kidogo [emoji16].

Source: Elimu changa.

#Zakuambiwachanganyanazako.
 
Nyota kung'aa ndiyo kitu gani? Hakuna kitu kama hicho. Sharo alipata ajali, labda hakuwa na uzoefu na safari ndefu. Wewe unasingizia Freemasons.
 
Ndio alipata ajali sikatai [emoji16], hata kanumba si alisukumwa tu akafa [emoji23], unaitaji shule ya hali ya juu kaka ili uelewe hiyo mechanism inayofanyikaga hapo, huwa kuna kamchezo fulani kachafu [emoji16] kanafanywa na wabobezi wa maswala fulani tu,ambako hata ukiitwa mahakamani ukaelezee jinsi kanavyofanyika mahakama haiwezi kukuelewa[emoji16] zaidi sana watatoa order ukapimwe akili,sicheki kwa nia mbaya ila jinsi ulivyotoa jibu jepesi kwamba alipata ajali akafa, eti ee akafa?, Laiti ungemuona sasa hivi yuko wapi hata usingesema, labda tu kwa takwimu nikwambie zaidi ya asilimia 80 ya ajali zote zinazohusisha vifo vya watu zinatengenezwa bro, utashangaa traffic police wanang'ang'ana na kuzuia mwendo kasi kuwa ndio chanzo cha ajili [emoji16],ingekuwa speed ndio chanzo basi misafara ya rais na waziri mkuu na viongozi wengine waandamizi ingekuwa inaanguka kila siku maana speed zake kwa wale waliowahi shuhudia nafikiri wanaelewa(Nguvu ya pale...), nawafananisha na wale ndugu zangu wa barakoa na ku keep social distance [emoji16]wakifikiri ndio njia ya kujikinga na Corona lakini wangejua behind Corona kuna nini wangeendeleza tuu maono ya Uncle(Maombi tena ya kufunga) nafikiri wote ni mashahidi tulivyokuwa tunapeta na shughuli zetu za kila siku, huku waliofungiwa idadi ya vifo ikizidi kuongezeka,yaani kumbe ndio maana wachawi huwa wanawadharau watu wa kawaida maana wanawachezea kama vi toy vyao [emoji16], yaani vile wanavyotaka halafu watu wanafikiri ni nature shida ya binadamu wa kawaida hupenda kuchukulia vitu kawaida na huwa hawafikiri behind the scene na ndio Freemasons hupenda maana ni faida kwao hawatakaa wajulikane mambo yao. Na hizo ajali zinaenda sambamba na magonjwa na majanga ya kidunia yanayoongoza kwa kumeza uhai wa watu.

No spontaneity in universe everything is planned purposely .

Source: Elimu changa [emoji3]

#Zakuambiwachanganyanazako
 
Nyota kung'aa ndiyo kitu gani? Hakuna kitu kama hicho. Sharo alipata ajali, labda hakuwa na uzoefu na safari ndefu. Wewe unasingizia Freemasons.
Nyota kung'aa kamuulize msoma nyota wa JF kaka [emoji16] , mi siko hapa kufundisha hizo mambo, ila ngoja tuendelee tu kuwasingizia maana hamna namna [emoji16], kuna jina natamani nikutajie hapa (ila sina imani na members humu walivyowambea[emoji16], Kesho utashangaa kuna uzi wake special kabisa [emoji16] (utani))halafu umuulize huyo mtu kwa njia yoyote utakayompata, muulize sharo na kanumba wako wapi ila akikujibu iwe siri yako, .Ila basi tu sitataja maana hata hawa nawataja ni kwa sababu tayari hawapo, maana sio vyema unamtaja mtu mara anakuburuza mahakamani[emoji16] anataka ushahidi wa maneno yako na mambo yenyewe haya hayana physical prove ni (mazingara ombwe) kamchezo fulani hivi ambako hakaelezeki mahakamani [emoji16] mahakama ikakuelewa,ndio utajua hujui mahakama lazima ikutie hatiani umemchafua mwenzio na huna ushahidi, sitaki shida mie, tuendelee tu kuwasingizia uzuri hajatajwa mtu jina isipokuwa waliotangulia somewhere hidden 🥲.
 
Unweza kuthibitisha huwa wanatoa kafara za watoto?
Kaka unawezaje kuuliza swali kama hili? Yaani ni sawa na kuambiwa na mahakama thibitisha kama ni kweli jirani yako ni mchawi na anakuwangia usiku ili ashitakiwe afungwe, hapa utakesha kutafuta huo ushahidi, na ni kuhakikishie labda, hutakaa uupate, this is why they are called secret societies because of some secret matters during their religious practice.
 
Dah acheni kuweka nazi kwenye kongoro..

Mna haribu upishi..

Partial knowledge is harmful.
 
Elimu Elimu Elimu. Tudanganywa kama watoto,Free maana ya uhuru,haki, usawa Mason ni ujenzi jenga ndugu upendo,haki ,uhuru, kuhusu freemasonry nililisha matango pori ile wakusanye sadaka
 
Iko hivi watu huwa hawaelewi, wanafikiri mtu akishakuwa freemason basi anajua kila kitu kuhusu freemason, si ajabu hata aliyeanzisha uzi huu hana hata degree moja ya masonic kwa hiyo anachojua kwa level yake ndio hicho,lakini kumbuka kuna degree 33 za freemason, na mambo mengine ni ya ndani kabisa hayatoki njee kabisa unless kama uliwahi kuwako ukatoka lakini huwa yanabaki kuwa siri za Master Masons.

Ni sawa na kumuuliza balozi wa nyumba kumi kuhusu mikataba ya siri ndani ya wizara ya nishati na madini ingawa ni serikali moja chama kimoja lakini hajui lolote zaidi sana atasifia au kupondea asichokijua, lakini vipi umuulize katibu mkuu wa wizara husika ingawa hawezi kukuambia maana ni siri lakini anaelewa in and out ndani ya wizara yake, kwa hiyo ndugu kila mtu anakula taarifa kwa urefu wa level yake [emoji16], hata kwenye imani yako au dini yako unakoabudu yapo mambo ambayo yanaishia kwa viongozi tu na ni mwiko muumini kujua unless apande level achaguliwe na hata akijua haruhusiwi na yeye kuyasema, yaani hata kuwe na transparency kiasi gani siri za ofisi huwa hazikosi hususan kwenye taasisi zote secular na non secular.

Ni kwamba hata Mungu ana siri tofauti ni kwamba "siri za Bwana zipo kwa wamchao nae atawajulisha agano lake"[emoji847], ndio maana hata ufahamu kuhusu Mungu hutofautiana kati ya mchungaji na mchungaji kati ya imamu na imamu kulingana na level yake ya ufahamu alionao, ingawa anaweza(anaweza, sijasema ni mmoja) kuwa yule yule lakini mmoja akamjua zaidi ya wengine na hapo haimaanishi huyu anayejua kidogo sio wake, no wote ni wake ila level of understanding zimetofautiana, moja ipo high nyingi ni for beginners

Niwaambie ukisikia mtu anakuambia ni watu poa hata usimshangae na yeye ndio level aliyofikia, ni kama vile kitunguu kilivyo na layers nyingi na kila moja haijui ndani yake kuna nini, ganda la njee halijui katikati kuna nini, ila katikati ndio palitoa kila kitu, kwa hiyo wa ndani anaelewa ya njee lakini wa njee hajui yaliyomo ndani, lakini ukienda mpaka kwenye kiini ndio utatambua ya kuwa haikuwa chama tu cha kusaidiana bali ni imani kamili ya kumwabudu shetani directly na mara nyingi utakuwa umeshachelewa maana hamnaga kusema kwamba mi nilikuwa sijui kama tunamwabudu Master(Lucifer) kwa hiyo sitaki kuendelea na haya mambo, aise hautasahau watakachokufanya, sheria za hawa mabwana ni kwamba once you become masonic your masonic forever.

Master huwa hafanyi kazi za hasara, kwamba akupe fedha magari kupitia chama chake cha kusaidiana [emoji16] halafu ukaja kugundua kumbe nyuma ya huo msaada yupo yeye, halafu ukimbie umtie loss kizembe, ndio maana ukiacha kama kanumba eti unaanza kuomba ushauri sijui kwa nani mara umuulize fulani nifanyeje nijitoe wao walishakuona kwenye radar zao mapema sana with (all seeing eye [emoji2539]) mapema na nia yako ya kusaliti chama ndio kifo cha ghafla hutokea maana umemgundua na unataka kumuacha kwa hiyo wanakutanguliza wewe kwanza kwa sababu ya mkataba ulioingia halafu unataka kuuvunja kinyemela, ndio maana ya ile kauli ya welcome but not return, na siku tukipata muda tutajadili huwa wanaenda kufanya nini baada ya kufa hivyo ghafla maana kiuhalisia huwa hawafi ni kama mazingara anavyochukuliwa mtu msukule ile kumbe kuna sehemu anakula ngese ya kutosha.

Maana yeye anachofanya ananunua nafsi za watu ili wamwabudu kama Mungu wao kwa malipo ya fedha nyumba na magari na mafanikio ya duniani, na kama utakumbuka kuna imani moja inaelezea kisa kimoja ambapo Master (Lucifer) aliwahi kumjaribu mwana wa Mungu akisema kama ukiinama na kunisujudia, nitakupa hivi vyote na fahari yake lakini kwa sharti la kuniabudu, nafikiri kwa wasomaji tunaelewa alichojibiwa. Lakini ndivyo ilivyo hata sasa hivi, yeye hana shida hata ya kukupa ulimwengu wote ilimradi anase nafsi yako, ndio maana Mwana akasema "itamfaidia nini mtu aupate ulimwengu wote halafu apate hasara taslimu [emoji16]ya nafsi yake (uhai wake).

Ndipo utaelewa kuwa Master hafanyi biashara ya hasara maana gharama ya nafsi ya mwanadamu mmoja ina thamani kuliko chochote unachoweza kukiona katika ulimwengu huu ndio maana ukombozi wake haukuwa wa fedha au dhahabu au majumba bali ilihitajika kafara ya damu isiyo na hatia ili kumkomboa, lakini leo shetani anauziwa nafsi kwa bei sawa na Bure[emoji16][emoji847] inashangaza sana, mtu anajitoa kumwabudu shetani kwa fedha isiyofika hata milioni 100 hata kama ingekuwa bilioni moja lakini ukilinganisha na thamani ya nafsi ya mwanadamu ni sawa na wazee wetu walivyokuwa wanatoa dhahabu kwa malipo ya vioo vya kijiangalia na manukato, ingawa tunawaona walikuwa wajinga lakini wao wana afadhali maana walibadilishana vitu kwa vitu, ila hiki kizazi chenye akili tunachosema kimestaarabika tunauza nafsi kwa vitu na sio nafsi zetu tu hata za ndugu zetu na watu wengine wasio na hatia kwa mafanikio ya duniani ya muda kitambo, lakini utambue huwa wana kaulimbiu moja You are welcome but not return, Rahisi kuingia lakini sio kutoka.

Ni kweli Mungu ndie aliiumba duniani (Earth) lakini Ulimwengu kwa maana ya world systems zimetengenezwa na hawa watu ndio maana wanajiita wajenzi huru, kwa maana ya kuwa ndio watengenezaji wa Dunia tunayoiona ya ushoga, vita, majanga, njaa, mabadiliko ya tabia ya nchi, na akitokea mtawala mwenye kuwapinga wanamterminate mapema sana asije akaharibu mipango Yao, utajiuliza mbona tunafanya uchaguzi, huo uchaguzi unaujua wewe wao wana watu wao na wanajua wanatumia njia gani kuwaweka kwenye mamlaka. Ndio maana utashangaa ukitaka haki kabisa au kutenda haki kabisa lazima upate upinzani wa kutosha kwa sababu mifumo haisapoti haki kutendeka ukiamka unapinga ushoga utashangaa unashtakiwa kwa kukiuka haki za binadamu, wakuu wa Dunia yetu kwa sasa wapo chini yake ni kwa vile tu baadhi ya mambo fulani hayapo sawa ndio maana mamlaka yake inakuwa haina nguvu kamili kwa nchi zote, lakini inafanya kazi, ndio maana wakaja na mkakati wa mpango mpya wa Dunia, kwamba dunia ipangwe upya ili iendane na mambo yao, kwa maana kwa jinsi ilivyo kwa sasa kuna baadhi ya mambo hawawezi kabisa kuyafanya katika dunia, kwa sababu engineer wake wa mwanzo(Mungu), hakuipanga kiihivyo, kwa hiyo, wajenzi huru wana mpango mkakati wa kuipanga upya Dunia, kiuchumi, kiafya, kimazingira, kimaadili, kiulinzi, na mwisho kidini ili iendane na utawala wao ndio maana hata saa hizi bado kuna mambo yanayotoka kwao tunaweza yakataa lakini itafika muda pamekaza pote hakuna kukataa ni mbele kwa mbele, kwa wasio na yule Mwana ndio kwisha habari Yao, maana huwa hawazuiriki unless kuwe na opposite power kubwa kuliko yao. Jamani nimechoka kutype asubuhi njema tutaendelea mwakani.[emoji16]

#watupoasana[emoji847].
 
Hivi mkuu si bible inasema kabla hawajafanikiwa kuuteka ulimwengu wote si ndo hapo mwana wa Adamu atarudi kuwatwaa watakatifu?au huu mpango kazi wao wa kutawala ulimwengu wote ni kabla ya Yesu kurudi?
 
Mimi nachotaka kujua nikwamba watu waliochukuliwa na freemason wanakwenda wapi?

Nikiunganisha na kanumba na sharo
 
Back
Top Bottom