Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,856
Chama kibadilike[emoji4]Makamanda na nyie anzisheni fiesta yenu na siyo kulalamika kila kitu. Ndege zimenunuliwa mnalalamika, madawati yametengenezwa mnalalamika, mahakama ya mafisadi imefunguliwa mnalalamika. Mnataka nini haswa?