Kumbe Fiesta ni kuitangaza CCM!?

Kumbe Fiesta ni kuitangaza CCM!?

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Nimepita stand ya daladala hapa Kilombero Arusha nimekuta Gari la matangazo linamasticker ya M na mwenge siwezi kuweka hapa maana nayachukia.. swali langu kwenu wanajukwaa kumbe fiesta ni kuitangaza CCM?
 
acha ujinga na umaskini wa fikra mbongo ww
Makamanda na nyie anzisheni fiesta yenu na siyo kulalamika kila kitu. Ndege zimenunuliwa mnalalamika, madawati yametengenezwa mnalalamika, mahakama ya mafisadi imefunguliwa mnalalamika. Mnataka nini haswa?
Mbona mmepaniki sana mkisikia makada wameguswa mnaweweseka.
 
Kuku,, nae anaweza akapaa akiamua hata kwa kilometa 300 ila c kwa akili za hawa watanzania wachache!
 
Makamanda na nyie anzisheni fiesta yenu na siyo kulalamika kila kitu. Ndege zimenunuliwa mnalalamika, madawati yametengenezwa mnalalamika, mahakama ya mafisadi imefunguliwa mnalalamika. Mnataka nini haswa?
Nani aliyekuambia tatizo la Tanzania ni Ndege? madawati? utakuwa unawaza kwa kutumia masaburi siyo Bure..
 
Ulikuwa hujui

Ccm wakiipiga pini fiesta isiende arusha toka 2011
Ili kuwaaminisha wana arusha kuwa wamekosea kuchagua chadema

Arusha wamewaonyesha kuwa hawana njaa na fiesta yao
Wameipeleka wenyewe
 
Back
Top Bottom