Utaonaje wakati akili yako imepinda?wapi lugha ya matusi imetumika...
Nenda kamfundishe mama yako kwanza.Naweza kumfunza mama yako, baba yako, Shangazi yako, ila wewe ni tahira siwezi poteza muda kukufundisha ..
Hivi wewe unafikiri unaweza kumfunza nani?
Unaona sasa akili yako ilivyo. Umeshaanza kutumia lugha ya matusi. Inakusaidia nini?
Sikushangai maana ndo uwezo wako wa kufikiri umefikia mwisho. Badala ya kujibu hoja unaleta mipashoPunguza kulalamika.
Mbona unapaniki ukweli unauma matusi ya nini tena?Nenda kamfundishe mama yako kwanza.
tunataka ajiraMakamanda na nyie anzisheni fiesta yenu na siyo kulalamika kila kitu. Ndege zimenunuliwa mnalalamika, madawati yametengenezwa mnalalamika, mahakama ya mafisadi imefunguliwa mnalalamika. Mnataka nini haswa?
Mkuu kwani ulishasikia wanasimama pale jukwaani wanasemaNimepita stand ya daladala hapa Kilombero Arusha nimekuta Gari la matangazo linamasticker ya M na mwenge siwezi kuweka hapa maana nayachukia.. swali langu kwenu wanajukwaa kumbe fiesta ni kuitangaza CCM?
Hivi wewe una uwezo wowote wa kufikiri?Sikushangai maana ndo uwezo wako wa kufikiri umefikia mwisho. Badala ya kujibu hoja unaleta mipasho
Hebu muambie huyo kamanda mwenzako aliyeanzisha sokomoko, na sio kuninyooshea kidole hapa.Mbona unapaniki ukweli unauma matusi ya nini tena?
Hivi wewe una uwezo wowote wa kufikiri?
Hebu muambie huyo kamanda mwenzako aliyeanzisha sokomoko, na sio kuninyooshea kidole hapa.
Umeshajibiwa tayari.Naweza kumfunza mama yako, baba yako, Shangazi yako, ila wewe ni tahira siwezi poteza muda kukufundisha ..
Wewe na huyo jamaa yako wote ni wapuuzi wa kutupwa.Umeshajibiwa tayari.