Uzushi ni sera ya CHADEMA.Yote yanatokea baada ya kuhama chama.Pambaneni na hoja zaoHuyu mama kumbe sujui alilewa akasahau akatuma sample ya vitenge vya CHAUMMA kwenye group la Kamati kuu ya Chadema.
Alituma usiku labda aliuwa ameshabwia. Maana yeye na kina Mrema huwa wanatoaga sana maboko majira ya saa nne za usiku mpaka saa nane usiku. Hii mida kwa wale wazee wa vyombo huwa mnakatazwa kushika simu. Dili likaanikwa kweupeee.
nyie CCM mbona mnashindwa kupambana na hoja zenu mnadandia hoja za CDMUzushi ni sera ya CHADEMA.Yote yanatokea baada ya kuhama chama.Pambaneni na hoja zao
Kwani kiongozi wa CHADEMA hawezi kupata tenda ya kupika chakula katika sherehe ya CCM?Huyu mama kumbe sujui alilewa akasahau akatuma sample ya vitenge vya CHAUMMA kwenye group la Kamati kuu ya Chadema.
Alituma usiku labda aliuwa ameshabwia. Maana yeye na kina Mrema huwa wanatoaga sana maboko majira ya saa nne za usiku mpaka saa nane usiku. Hii mida kwa wale wazee wa vyombo huwa mnakatazwa kushika simu. Dili likaanikwa kweupeee.View attachment 3338129
Huo ni ushahidi aliotoa Boni Yai leo.
Hata mimi nikipewa tenda siachi,yani nikose hela kwa kujifanya nakomaa 😀,mbona wachina wanapewa tenda na hamlalamikiHuyu mama kumbe sujui alilewa akasahau akatuma sample ya vitenge vya CHAUMMA kwenye group la Kamati kuu ya Chadema.
Alituma usiku labda aliuwa ameshabwia. Maana yeye na kina Mrema huwa wanatoaga sana maboko majira ya saa nne za usiku mpaka saa nane usiku. Hii mida kwa wale wazee wa vyombo huwa mnakatazwa kushika simu. Dili likaanikwa kweupeee.View attachment 3338129
Huo ni ushahidi aliotoa Boni Yai leo.
Devota hana kiwanda so mwisho wa siku atanunua China na wachina ndiyo wataofaidika na kibaya zaidi matumizi yanatokana na kodi/tozo ambazo mama muuza vitumbua, bodaboma wanakatwa.Kwahiyo hiyo mlitaka wafanye wachina? PATHETIC
Mumeshikwa pabaya mbwa nyie,uzushi gani na mtu kaweka ushahidi hapo?Uzushi ni sera ya CHADEMA.Yote yanatokea baada ya kuhama chama.Pambaneni na hoja zao
Kwani kiongozi wa CHADEMA hawezi kupata tenda ya kupika chakula katika sherehe ya CCM?
Hebu nyie mnaojua sana mje mtoe ufafanuzi katika kutenganisha itikadi ya kiongozi wa chama na biashara yake binafsi.
Hiyo kutuma katika group la CHADEMA huenda ni mistake of fact, labda alikuwa anatuma sample kwa wateja wake ikaja kwenye group lenu la CHADEMA kwa bahati mbaya.

Ulianza vizuri utetezi ila mwisho umeuvuja mwenyewe, kwa kuwa umeshakubali kuwa amefanya mistake basi ulimwengu ndo utaamua hukumu.Kwani kiongozi wa CHADEMA hawezi kupata tenda ya kupika chakula katika sherehe ya CCM?
Hebu nyie mnaojua sana mje mtoe ufafanuzi katika kutenganisha itikadi ya kiongozi wa chama na biashara yake binafsi.
Hiyo kutuma katika group la CHADEMA huenda ni mistake of fact, labda alikuwa anatuma sample kwa wateja wake ikaja kwenye group lenu la CHADEMA kwa bahati mbaya.
Huyu mama kumbe sujui alilewa akasahau akatuma sample ya vitenge vya CHAUMMA kwenye group la Kamati kuu ya Chadema😂😂😂.Huyu mama kumbe sujui alilewa akasahau akatuma sample ya vitenge vya CHAUMMA kwenye group la Kamati kuu ya Chadema.
Alituma usiku labda aliuwa ameshabwia. Maana yeye na kina Mrema huwa wanatoaga sana maboko majira ya saa nne za usiku mpaka saa nane usiku. Hii mida kwa wale wazee wa vyombo huwa mnakatazwa kushika simu. Dili likaanikwa kweupeee.View attachment 3338129
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob(Boni Yai) amesema tuhuma zilizotolewa na miongoni mwa wanachama wa chama hicho aliyesema ametolewa kwenye group la kamati kuu(Devotha Minja) kuwa ni kwa sababu anatengwa sio za kweli.
Boniface ameeleza hayo leo Mei 18, na kueleza kuwa mtu huyo alituma mfano ‘sample’ za vitenge vya Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA) jambo ambalo waliona sio mwenzao.
Hata hivyo amesema barua ya msajili juu ya kuwasimamisha uongozi viongozi wa chama hicho kutokana na kutokukamilka kwa akidi ya Baraza Kuu mtu huyo alituma taarifa haraka sana jambo lililowashangaza na kuongeza mashaka kwake.
View attachment 3338136
Huo ni ushahidi aliotoa Boni Yai leo.
Kwamba sio uzushi CHADEMA imekusanya fedha Kwa kampeni ya tone tone Kwa ajili ya Kununua vurusi vya ebola na MPox!Uzushi ni sera ya CHADEMA.Yote yanatokea baada ya kuhama chama.Pambaneni na hoja zao