Kumbe Chit-Chat patamu

Karibu sana Grenade
Naomba kukutambulisha wake zangu wapendwa nikianza na Kipenzi changu toka moyoni kwa juu kabisa bibie Amyner (Kwa sasa yuko busy na majukumu ya Kifamilia so hujamuona humu), Bibie Remmy (Huwa anatuliza moyo wangu kwa kipindi ambapo Amyner haupo), BADILI TABIA (Huyu Hajatulia nimemtema kama wewe ni ME beba mzigo), The secretary (Huwa akimiss mambo yangu anakuja home kujisevia), Preta (Nilishinikizwa kumuona na PakaJimmy ila nampenda sana sema ni kiruka njia sana mara kwa TANMO mara kwa KakaKiiza mara kwa mtu chake yan utulivu F) Kongosho ndio alinifundisha tendo tamu..na kama nilivyomfundisha King'asti
Dah nahisi bado wengi naomba Mr Rocky aje anisaidie kukutambulisha ila ukionana na Yummy , Dena Amsi ujue Ni wake za Mr Rocky
Mwisho nakutambulisha dada yangu Blaki Womani na sweetlady
Pia siwasahau Mods wenzangu Paw (Mume wa King'asti ila inaniuma sana), Roulette (Miss you Madame), na Fang na Meezy

Mh kwa hii CV, heshima kwako Erickb52
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom