Kumbe Chit-Chat patamu

Kumbe Chit-Chat patamu

cha ajabu anajiita mgeni wakati anajua members karibia wote wa chitchat huyu atakua ni kati ya wale walioko kwenye BAN

Mkuu mtotowamjini kama nilivyosema, me sio mgeni kivilee, nimewafahamu members wengi sababu nlisema mara nyingi nlikua nikiperuzi kwenye hili jukwaa. Sijawahi kula ban
 
Last edited by a moderator:
Nimegundua Jukwaa la siasa ni kama central polisi, chitchat kama hospitali.
kote hakuna hodi jamani naingia
 
bora mmemwambia, Kaizer ma swtlo yuko opo anawatizama tu. ila mkuu Grenade unanaje ukamuopo kimwana lara 1? ama nikupepo mwl mwenzangu snowhite?

ngoma yangu yataka matao,ataiweza huyu,au wantaka nisemwe ubaya mie shostilo!mizungu yangu ataiweza lakini!?eti Grenade mie mwenzio nna mafusho yangu shurti ujue kunuiza ndo kiti anaongea ,umeagana na nyonga lakini?
 
Last edited by a moderator:
ngoma yangu yataka matao,ataiweza huyu,au wantaka nisemwe ubaya mie shostilo!mizungu yangu ataiweza lakini!?eti Grenade mie mwenzio nna mafusho yangu shurti ujue kunuiza ndo kiti anaongea ,umeagana na nyonga lakini?

Tena nilivyokua na ugonjwa na vitu vyeupe...! mbona ngoma yako itachezeka tu!! kwema lakini?
 
Duh! Naona maneno maneno kama ya fataki!
 
Last edited by a moderator:
Tena nilivyokua na ugonjwa na vitu vyeupe...! mbona ngoma yako itachezeka tu!! kwema lakini?

mie ngoma yangu ina mawanda kaka!asojua kufanya kazi ya manju walahi hutoka mbio!
usijali lakini pitia kwa mwanafunzi wa darasani kwangu Kaizer akiaprove uingie darasani kwangu labda naweza kukuweka kwenye foleni ya kuwa enrolled
au unaweza kumuona muumini wangu The Boss wa kanisani kwetu mimi na mchungaji mwenzangu Kaunga wa MMU WOMEN DELIVARANCE SPIRITUAL CHURCH akiruhusu ukae japo kwenye benchi kusubiri deliverance yako labda unaweza kupita !
 
Hahahaaa, ili ni kama shairi tu kwangu.. huku kwenye DERIVARANCE ndo anga zangu eti, ngoja sasa uone ntakavyowaovateki watu kwenye io foleni ya derivarance yako. Nasubiri ubeti wa pili, lol
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Daha!!! Erickb52 Mbona haujanitonya hili sled linafika mwisho!!ndo naliona!!Ila naomba niwambie mimi Preta nilijivua gamba rasimi Mtoto atulii utadhani Bisi kwenye kikaango!!Akai sailensi mimi kukimbizana na TANMO, mtu chake ntaweza wapi??umri huu hapana mimi nakaribisha mzee mwenzangu yeyote yule ambaye anajiona hayupo komitedi sina mashariti wala vigezo najua dadayangu KOKUTONA atanisaidia!!
 
Mmmh KakaKiiza kukusaidiaje? Kama unataka nkusaidie seriously hiyo terminology ya dada itasumbua sana. Nitakuwa nakusaidia huku naona aibu lol. Ifute kwana afu ndo tuongee ishu. Ila nisije dundwa na Preta.
 
Eheeeee huyo huyo KOKUTONA anaingia karibu ntatoka nakitu Preta anamapenzi ya kigaratia usijali!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom