Kumbe Chit-Chat patamu

braza Erickb52 Grenade nampatia mdogo wangu Kabakabana.......kaa mbali na bibi zetu gfsonwin cacico Kongosho asali ya ODM lakini kwa sasa mmmmhhh naona imekuwa asali ya Erickb52 sitii neno ngoja babu aamke hao ndio wake halali wa Asprin babu wa jukwaa pendwa CC
Heheheheeee ila gfsonwin naona Kaizer atatumaliza Blaki Womani
Hivi shem wangu Arushaone hajambo?
Mi naona pendekezo lako kumpatia Grenade bibie Kabakabana ni sahihi kabisa maana mi naogopa ugomvi na Amyner
 
Last edited by a moderator:
Fata hiyo protokali likini kumbuka yaliyompata kamanda sharobaro watu hawayapendi yawatokee kabisa!

...yani mupenzi wangu unavyonijali mpaka nahs hakuna mwingine wa kunifumbata katikati ya Mikono yako laini yenye utamu wa asali mbichi ya nyuki wadogo wasiouma.
Lol...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom