KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
Km ndivyo KakaKiiza, karibu sana. Orodhesha yote unayotaka nikusaidie.
Nitakusaidia kwa moyo wote. Preta hana lake eti?
Wenye wivu wajinyonge loooooool.
Karibu sana Grenade
Naomba kukutambulisha wake zangu wapendwa nikianza na Kipenzi changu toka moyoni kwa juu kabisa bibie Amyner (Kwa sasa yuko busy na majukumu ya Kifamilia so hujamuona humu), Bibie Remmy (Huwa anatuliza moyo wangu kwa kipindi ambapo Amyner haupo), BADILI TABIA (Huyu Hajatulia nimemtema kama wewe ni ME beba mzigo), The secretary (Huwa akimiss mambo yangu anakuja home kujisevia), Preta (Nilishinikizwa kumuona na PakaJimmy ila nampenda sana sema ni kiruka njia sana mara kwa TANMO mara kwa KakaKiiza mara kwa mtu chake yan utulivu F) Kongosho ndio alinifundisha tendo tamu..na kama nilivyomfundisha King'asti
Dah nahisi bado wengi naomba Mr Rocky aje anisaidie kukutambulisha ila ukionana na Yummy , Dena Amsi ujue Ni wake za Mr Rocky
Mwisho nakutambulisha dada yangu Blaki Womani na sweetlady
Pia siwasahau Mods wenzangu Paw (Mume wa King'asti ila inaniuma sana), Roulette (Miss you Madame), na Fang na Meezy
KakaKiiza nakuomba uwasiliane na wamama wa chitchat ingawa siwajui hata mmojaDaha!!! Erickb52 Mbona haujanitonya hili sled linafika mwisho!!ndo naliona!!Ila naomba niwambie mimi Preta nilijivua gamba rasimi Mtoto atulii utadhani Bisi kwenye kikaango!!Akai sailensi mimi kukimbizana na TANMO, mtu chake ntaweza wapi??umri huu hapana mimi nakaribisha mzee mwenzangu yeyote yule ambaye anajiona hayupo komitedi sina mashariti wala vigezo najua dadayangu KOKUTONA atanisaidia!!
Heheheheee KOKUTONA kwanza nambie Erick Jr hajambo?
bebii....u mzima....? missing you ujue......
Dah mbona mimi nilikuwa siitwi majina ya watoto!!Anyway nilishakubali matokeo!!bebii....u mzima....? missing you ujue......
Dah mbona mimi nilikuwa siitwi majina ya watoto!!Anyway nilishakubali matokeo!!
hujakosea mkuu ila kiukweli kutamu sanaMmmmmhh!
Kuna wenyewe huku! Nimepita tu!
huku balaa huwa nashawishika kusajiliwa kwa usajili wa kudumu...muda si mrefu naamini nitatua rasmi siasa zimenchoshaCC ukikosa siku mbili tu unakuta mambo yamebadilika ile mbaya
Dah kumbe wengine tunakaa sehemu za maradhi!!lol!!Mapafu???Figo??Mimi kwenye chembe walau ila mhm limonia kwakaribu sana!!lol!!Nakuomba unihamishe lakini siyo huko kwingine ulikokutja!!!jamani tusiweke wivu mbele sana........ni mmoja tu huwa anakaa rohoni.......wengine nafasi yenu ni kwenye maini....figo.....mapafu......kama wewe nimekuweka kwenye chembe ya moyo.......