cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,812
heeeeee kaka upo?? huyo mtu kwenye avatar yako kama namfananisha?? cjui ndiye yy mpwa wa kikwete??Grenade afadhali umewahi kusema we ni me, ungetongozwaje, nways karibu, pili ukitaka kukaa kwa usalama humu usijaribu hata kuwaza kumpm mama watoto wangu charminglady, kama wewe ni mgeni basi ujue kuna kitu kinaitwa ban, yan likizo isiyo na malipo.... byeeee enjoy uwepo wako hapa