Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
Ile kesi yako imesha kwishwa?
Au ndio inayo kufanya usionekane!
Ya kumsindikiza DADA YAKE kutoka kwenye kikao mwanza!??? au kuna nyingine
Ile kesi yako imesha kwishwa?
Au ndio inayo kufanya usionekane!
Jamani bby mi mwenzio ako akumiss sana ma dia
Halafu ako na njaa si akuje basi apike eti
Hahaaaaaaaaa
Asitugombanishe bure..!
Niko karibu nakuja...si unajua tuna weekend ndefu wiki hii.
Ruttashobolwa mi ndio Erickb52 au unadhani mi ni mwenzio? Siwezi kuwa na kesi na watu wadogo wadogo kumbuka mi ni msaidizi wa Bishanga oooohIle kesi yako imesha kwishwa?
Au ndio inayo kufanya usionekane!
Karibu sana Grenade
Naomba kukutambulisha wake zangu wapendwa nikianza na Kipenzi changu toka moyoni kwa juu kabisa bibie Amyner (Kwa sasa yuko busy na majukumu ya Kifamilia so hujamuona humu), Bibie Remmy (Huwa anatuliza moyo wangu kwa kipindi ambapo Amyner haupo), BADILI TABIA (Huyu Hajatulia nimemtema kama wewe ni ME beba mzigo), The secretary (Huwa akimiss mambo yangu anakuja home kujisevia), Preta (Nilishinikizwa kumuona na PakaJimmy ila nampenda sana sema ni kiruka njia sana mara kwa TANMO mara kwa KakaKiiza mara kwa mtu chake yan utulivu F) Kongosho ndio alinifundisha tendo tamu..na kama nilivyomfundisha King'asti
Dah nahisi bado wengi naomba Mr Rocky aje anisaidie kukutambulisha ila ukionana na Yummy , Dena Amsi ujue Ni wake za Mr Rocky`
Mwisho nakutambulisha dada yangu Blaki Womani na sweetlady
Pia siwasahau Mods wenzangu Paw (Mume wa King'asti ila inaniuma sana), Roulette (Miss you Madame), na Fang na Meezy
Ok sawa ma dia ndio mana nakulove mbaya....Ntakuja kukupokea hata Nicas Mtei akiona atajiju
Yah achana nae love hana lolote anahangaika huku na kule utadhani ana ya mchina lol
Habarin, kiukweli nmevutiwa na hili jukwaa lenu so sio mbaya tukiwa pamoja.. Arushaone Baba V Madame B Erickb52 Mamndenyi St. Paka Mweusi, mkiva charminglady C6 zubedayo_mchuzi Ciello FP Filipo , Na wengine wote jukwaani hodi. mimi ni "me". pamoja
Ndo maana haishi hiccups kwa kuzowea kudowea asivyopikaMaskini Erickb52 huwa nakuonea huruma unavyowangia wake za watu halafu unaishia kupata vya juujuu kama vya kuku wakati wenzio wanachomeka mpaka wanapitiwa na usingizi we kazi yako kucopy na kupaste. halafu eti unanitaka nilishakwambia sikumind wala nini mi nipo na king'Amuzi changu Bishanga