Kumbe "Bia Bingwa" zipo?

Bia bingwa haina matatizo. Tatizo wanywaji hatuzingatii masharti yake. Bia Bingwa ina ujumbe "inywe ikiwa baridi". Sasa wewe ukiinywa ya moto ndo hapo matatizo yanapoanzia
 
Ya zamani na ya sasa ziko sawa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom