Kumbe BAZAZI maana yake ni............

Kumbe BAZAZI maana yake ni............

Heaven on earth jina lake huwa linanizingua maana liko spiritualy infuenced, which side i dont know.


Jina langu ni lakibena, so kwetu ni la kawaida sana.

kwa hiyo unataka kusema umempenda saaaaaana Heaven on Earth mpaka unashindwa kumwambia?
 
Last edited by a moderator:
I don't know how to love any one, the only thing i know is to hurt some one.
Heaven on Earth umeelewa hapa? kijana anaongea american english tu qudadeki!

ngoja nikutafsirie..: '' ntakupenda milele, mwisho wa mwezi wa tatu tutarudi wote LOS ANGELES'' .. chukua fursa!!
 
Last edited by a moderator:
jamanai munkari didnt you know?

nilikuwa namtambulisha malikia wangu.. miss neddy..! it was gorgeous and fantastic!
sasa mbona hujanialika jamani yani ndo mekosa vyuku na vyoda?????????????:A S tongue::A S tongue:
 
Heaven on Earth umeelewa hapa? kijana anaongea american english tu qudadeki!

ngoja nikutafsirie..: '' ntakupenda milele, mwisho wa mwezi wa tatu tutarudi wote LOS ANGELES'' .. chukua fursa!!

Heaven on earth mpole sana, me napendelea wakorofi zaidi ya LADY FURAHIA.
 
Back
Top Bottom