Naona unatoa mwaliko, ngoa waje.............................
Hahahahahahahaha au Block City
Kutambua jinsia mbona rahisi sana? Kwanza wewe ni me au ke?
hahahah rafiki umeniacha hoi kwa kucheka...
Nakuona unakatika mbavu mweka hazina wa #TEAMRAFIKI kulikoni?
Kuna swali la nyongeza ndugu Excel hili neno bazazi ni kwa kila jinsi au linatumika kwa wanaume tu?
Unataka kujua jinsia?? Muulize babu Asprin huwa anajuaga
heheee mie mwenzio sikutaka kukaweka hako ka "city"
Nimekutenga kwenye jumuiya yangu.
bazazi si umesema ni penda penda?
Japo sio mie uliyeniuliza ila najua ni kwa men tu maana sijaona team bazaz ya wadada
Jirani umeniita au wambea wamenidanganya? hebu njoo hapa Brazil bar opposite na Kibo complex nikuambie kitu changu.
Afu na ujanja wote unataka kunambia hujamstukia mwanzisha thread ni nani? Mwambie akuambie ID yake nyingine ushangae na roho yako