Kumbe BAZAZI maana yake ni............

Kumbe BAZAZI maana yake ni............

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,936
Reaction score
2,144
Hili neno bazazi nilikuwa nnaliona sana humu ndani, bahati mbaya nilikuwa sijui maana yake, ila leo nimejua maana halisi ya neno BAZAZI.

BAZAZI=penda penda.
Sijui kama kuna maana nyingine zaidi, kama ipo mnitajie.

Nnaswali lingine, mnawezaje kutambua jinsi ya kike humu ndani? Maana mie karibia wote naona kama ni wanaume tu isipo kuwa kwa wale

wanaotumia majina halisi na

Wale wanao tumia Lady.......
 
halafu ukishajua jinsia za watu humu zitakusaidia nn
 
heehee humu kutambua jinsia ni kazi unakuta mtu

anajiita Block region na picha ya mkaka kumbe ni mdada
 
Ndo hapo sasa, mtu anaitwa MUNKARI kwa mfano unashindwa kumtambua, ila ukiona, passion lady au lady.....unajua jinsi yake mapema.

Hivi na wewe Heven on....jinsi yako ni ipi?
 
Hili neno bazazi nilikuwa nnaliona sana humu ndani, bahati mbaya nilikuwa sijui maana yake, ila leo nimejua maana halisi ya neno BAZAZI.

BAZAZI=penda penda.
Sijui kama kuna maana nyingine zaidi, kama ipo mnitajie.

Nnaswali lingine, mnawezaje kutambua jinsi ya kike humu ndani? Maana mie karibia wote naona kama ni wanaume tu isipo kuwa kwa wale

wanaotumia majina halisi na

Wale wanao tumia Lady.......

mkuu ukitaka kujua jinsia, lazima uwe mtambuzi mzuri wa comments za watu katika thread mbali mbali...

pia na uzoefu nao unachangia humu... JF ishakuwa kama nyumbani mwa watu sasa...

karibu, mi naitwa KING Excel.
 
Last edited by a moderator:
Ninazo njia za kukusaidia kutambua hizo jinsia zipatazo 20. Kila njia moja charge 200,000. Ila kwa kuwa mgeni nitakufanyia 178,990. Upo tayariii..?
 
Nmekuelewa mkuu, ila kwenye suala la komenti hapo, kuna mtu, kunawakati anakomenti kama mwanaume na kunawakati anakomenti kama mwanamke, mara kuna watu wanamuomba waingie PM, so nkashindwa kutambua jinsi yake.
 
Tayari ili kupata elimu, lakini kwa vile nnahitajika kutoa pesa, basi chagua zipitie kwa nani kati ya hawa.

JUDGEMENT

ASPRIN

EXEL

HEVEN ON EARTH

PASSION LADY

au yule aliyejirestisha (LADY FURAHIA).
 
Nmekuelewa mkuu, ila kwenye suala la komenti hapo, kuna mtu, kunawakati anakomenti kama mwanaume na kunawakati anakomenti kama mwanamke, mara kuna watu wanamuomba waingie PM, so nkashindwa kutambua jinsi yake.

hahahaaa! wewe si mhudhuriaji mzuri wa MMU... mbona kuna nyuzi nyingine kabisa wanaongea wanawake wenyewe?

ama ukiongea jambo linalohusu wanawake, wanakuja juu, unatambua kabisa kwamba huyu ni mwanamke..!

kuwa mdukuzi tu utajua,,...!

kuna mbinu nyingine ya kutambua jinsia...
 
Ngoja nitembelee maeneo hayo ya MMU maana kuna watu unashindwa kusema ni dada au kaka.
 
we unadhani wengine wanawatambuaje? kuna mtu unaweza tu kujikosesha ili umtambue!.. kwa mfano ukiquote mtu ukasema ''thank you sister/madam''!! ili mradi tu usikie reaction! hahahaaaa!
 
Hii ni njia nzuri sana, hapa umenipa ujanja, mie nilikuwa naogopa kujikosesha maana baadhi ya wana jf kwa mitusi wamebobea.
 
Back
Top Bottom