Kumbe BAZAZI maana yake ni............

Kumbe BAZAZI maana yake ni............

Ndo hapo sasa, mtu anaitwa MUNKARI kwa mfano unashindwa kumtambua, ila ukiona, passion lady au lady.....unajua jinsi yake mapema.

Hivi na wewe Heven on....jinsi yako ni ipi?

Mi ni mdada avatar yangu ina reflect my gender
 
Hii ni njia nzuri sana, hapa umenipa ujanja, mie nilikuwa naogopa kujikosesha maana baadhi ya wana jf kwa mitusi wamebobea.

matusi hapa? kuna ku-report abuse! unakula ban kama kawa! hahahaaa!!! jaribu uone!
 
matusi hapa? kuna ku-report abuse! unakula ban kama kawa! hahahaaa!!! jaribu uone!

Kumbe kuna kuripoti, mi huwa nnaona kwenye majukwaa mbali mbali watu wanatukanana kama nini.
 
Ameniambia yeye ni mdada tena mrembo tu, nashangaa unamwita braza....

we umejuaje kwamba ni mdada!!? ohoo!

dogo utapigwa roba mjini hapa! siku hizi me na ke wote wanavaa suruali!:A S 13:
 
we umejuaje kwamba ni mdada!!? ohoo!

dogo utapigwa roba mjini hapa! siku hizi me na ke wote wanavaa suruali!:A S 13:

Basi inabidi kuwalisha GPS ili wakienda kujisaidia/bafuni ujue.....
 
thubutuuu! ngoja nikuache na @dzukudzuku! dah.. jamaa ana jina la ajabu kweli!

ngoja nione labda anaweza kung'oa mchuma leo!

Unanifurahisha sana Exel, kumbe unashangaa jina langu hafu huniambii?
 
mwanangu hapa nalisoma mpaka battery inaisha moto! hahaaaa!!! dizu dizuku? something like that?
Unanifurahisha sana Exel, kumbe unashangaa jina langu hafu huniambii?



Basi inabidi kuwalisha GPS ili wakienda kujisaidia/bafuni ujue.....

huyo Heaven on Earth, shauri yako..! ngoja akwambie eti mdada!! naona wewe utaishia ubungo terminal urudi kwenu njombe! hahaaa! dar kila mdada ni mrembo! kila mwanaume ni handsome! teh..!
 
Last edited by a moderator:
mwanangu hapa nalisoma mpaka battery inaisha moto! hahaaaa!!! dizu dizuku? something like that?






huyo Heaven on Earth, shauri yako..! ngoja akwambie eti mdada!! naona wewe utaishia ubungo terminal urudi kwenu njombe! hahaaa! dar kila mdada ni mrembo! kila mwanaume ni handsome! teh..!

Heaven on earth jina lake huwa linanizingua maana liko spiritualy infuenced, which side i dont know.


Jina langu ni lakibena, so kwetu ni la kawaida sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom