Je sio kwamba kwenye kazi za risk anawatoa kafara hao mbuzi katoliki na kuwa protect watu wa upendeleleo?
Tupo kwenye msiba mzito,wapo waliopotelewa na wazazi,ndugu na wapendwa wao, ni vizuri tuungane nao kuombeleza.Je sio kwamba kwenye kazi za risk anawatoa kafara hao mbuzi katoliki na kuwa protect watu wa upendeleleo?
For an idiotic postIdiotic answer.
Muislamu hawezi jenga kanisa kwa kuwa anajua Mungu atampa adhabu kwa kuwapoteza binadamu katika imaniHakuna udini?
Wanajenga misikiti tu na sio makanisa!!!
Sasa akijenga kanisa itabidi amlipe katekista,sijui mchunga nana mwingne.. ila msikiti anaswali yy nakila aneyeswali anaweza kuswalishaaHakuna udini?
Wanajenga misikiti tu na sio makanisa!!!
Je sio kwamba kwenye kazi za risk anawatoa kafara hao mbuzi katoliki na kuwa protect watu wa upendeleleo?
hakutarajia na hapendi kabisa!tatizo waisilamu mnapenda sana kulalamika.... sasa hapa mtoa post sielewi unamaanisha nini unapolalamika.