Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa Jina langu. Watajinyenyekeza mbele zangu na kuziacha njia zao ovu, na kuniomba. Nitazisikia sauti zao na kuiponya nchi (ardhi) yao. Hivyo precondition ya kuponywa ardhi yako ni kuisikia sauti ya Mungu, kuacha umbea, wivu, hasira, chuki, tamaa, uchoyo, ulevi, uzinzi, ushirikina, wizi, na matendo yote maovu; kujinyenyekeza yaani kuacha majisifu (maana sifa, enzi, nguvu, utukufu ni wa Mungu pekee). Basi Atasikia maombi yako na KUIPONYA ARDHI. No amount of prayer au kukemea au kudecree hakuwezi kuponya ardhi kama hatuziachi njia OVU na hatujishushu.