rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
Yani sawa na KuambiwaEti "We find your assumptions more artistic than actual physics"! Yaani kwa lugha ya Kiswahili cha leo - "Huu wako ni usanii tu siyo fizikia". Hahahaaaaaaaaaa....
Kumbe! Alizaliwa juzijuzi tu! Sikujua...
Mzee baba unaongea utopoloo na kuleta hadithi za Abunuasi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]