Albert Einstein alishindwa kwenye mitihani hakushindwa maisha

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,203
999
Albert Einstein (14 Machi 1879 – 18 Aprili 1955) alikuwa mwanafizikia mwenye asili ya Kiyahudi kutoka nchi ya Ujerumani.

Hasa anajulikana kwa nadharia ya uhusianifu.

Mwaka 1921 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Mwaka 1933 alipoona kuwa Hitler aliteka utawala nchini Ujerumani, aliamua kubaki Marekani alipokuwa amekwenda, na hatimaye alipata uraia wa huko mwaka 1940.
070d3b9d75ccf55afaa2a4bbd65e20d3.jpg
 
Psychologist mje huku mtueleze. Ila je mnaelewa kuwa Intelligent/ gifted children wanakuwaga bored na formaleducation hivyo usishangae hao wanaokatisha masomo huwa wanaboreka tu na kuendelea na mambo yao mpaka wanagundua vitu!
 
Wala haishangazi, mtu kama huyo shule anaenda kufanya nin ikiwa vitu anavyofanya hata hao maprofesa hawawezi kuvifikiria?
 
Huyu jamaa bora hata alienda marekani angebaki ujerumani na yale maidea yake basi Dunia nzima ingekuwa inazungumza kijerumani!!

Einstein tena!!
 
Back
Top Bottom