Kumbatio la Joe Biden kwa Hillary

Kumbatio la Joe Biden kwa Hillary

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,121
Reaction score
143,559
Joe Biden huwa ananifurahisha sana.

Jamaa ni kama mchizi flani hivi.

Hebu ona hilo kumbatio...Hillary kwa kutumia lugha ya mwili anasema kabisa 'Joe imetosha, niachie basi'...

Lakini Joe bado kang'ang'ania tu.

Hahahaaaa creepy old man.

Alinifurahisha mno alipowajibu waturuki mbele ya Rais wao
kuwa Obama hana mamlaka ya kuamuru kum deport yeyote
hayo masuala ni supreme court ndio inaamua......

nilitamani Magufuli angejifunza kitu hapo
 
Na ni kweli.

Ndo maana watu wanaosema eti Trump atafukuza wahamiaji wote [jambo ambalo si kweli na hajawahi kulisema] huwa nawahoji kama wanajua jinsi Marekani inavyotawaliwa.

Rais wa Marekani hana nguvu kivile.
 
Sisi huku hatuulizi lolote ambalo Rais anasema
vitu vingine pia hana mamlaka navyo ila anaachiwa apore mamlaka
hivi unajua Magufuli ndo Rais wa kwanza kuteua Ma DAS na wengineo wilayani?
 
Na ndo maana ulimsikia Magu kule Zenji akidokeza kuwa angekuwa yeye ndo kagandishwa na Maalim basi Maalim asingepata stahiki zake.

Hovyo kabisa.
 
Alinifurahisha mno alipowajibu waturuki mbele ya Rais wao
kuwa Obama hana mamlaka ya kuamuru kum deport yeyote
hayo masuala ni supreme court ndio inaamua......

nilitamani Magufuli angejifunza kitu hapo
Kabisa kaka kama ulikua moyoni kwangu ila sina hakika magu uwa anafuatilia hayi
 
Uncle Joe huwa nampenda sana,akiwa na akina mama lazima lizuke jambo

Unakumbuka alimwambia Obama 'F' Big deal

Kwa wenzetu Obama ana eneo lake, congress lake, senate lake, na mahakama

Mahakama ilimkatalia OB kuhusu wahamiaji na akakubali yaishe

The Boss 'shikamoo' usijefuta bandiko langu kwa mkono...
 
Alinifurahisha mno alipowajibu waturuki mbele ya Rais wao
kuwa Obama hana mamlaka ya kuamuru kum deport yeyote
hayo masuala ni supreme court ndio inaamua......

nilitamani Magufuli angejifunza kitu hapo
Acha UCHOCHEZI.
 
Lol! Hahahahahaha labda Babu Biden alipatwa na mfadhaiko wa dushe al maarufu kwa mfadhaiko wa akili.
 
Joe Biden huwa ananifurahisha sana.

Jamaa ni kama mchizi flani hivi.

Hebu ona hilo kumbatio...Hillary kwa kutumia lugha ya mwili anasema kabisa 'Joe imetosha, niachie basi'...

Lakini Joe bado kang'ang'ania tu.

Hahahaaaa creepy old man.

Hahahahaaa hii ilikuwa mapokezi ya kikazi sio...? Ingekuwaje Clinton angekuwepo hapo.... labda angechukulia kama utani au labda angekasirika kwa kuonesha wivu hahahahah. Maana huyo Joe alishikilia maeneo ya pembeni mwa matiti..... panakuwaga na joto joto tamu hapo...... yawezekana madam alikuwa kwenye heat matokeo yake Joe akawa hataki kuliachia lile joto joto. ....

Kasie.
 
Western culture
 
Nataka nikukumbatie hivyo na wewe..
 
Nataka nikukumbatie hivyo na wewe..

Ooohhh woow.... unafikiri mie ntaganduka nikwambie tayari.... hiyo mikono yako ... ile misuli itavokuwa imezunguka mgongoni kwangu kunibana kifuani kwako hoooh utakuta ni tabasamu tuu limejaa kifuani pako. ... naanzaje kujinasua kwenye utamu wa kumbatio la Nyani.....

Mie naomba kumbatio liwe zaidi ya hilo. ..
 
Unamtia majaribuni mtoto wa mwanamke mwenzio, sio?.[emoji3]
 
Kumbe the guy amekua akiiota hii nafasi muda mrefu sana, ameitumia ipasavyo.
 
Hata alipowafungisha ndoa wale Mapunga wawili pale white house Aliwakuna Sana "wananzengo"
 
Back
Top Bottom