Pana joto mwanana sana hapoHahahahaaa hii ilikuwa mapokezi ya kikazi sio...? Ingekuwaje Clinton angekuwepo hapo.... labda angechukulia kama utani au labda angekasirika kwa kuonesha wivu hahahahah. Maana huyo Joe alishikilia maeneo ya pembeni mwa matiti..... panakuwaga na joto joto tamu hapo...... yawezekana madam alikuwa kwenye heat matokeo yake Joe akawa hataki kuliachia lile joto joto. ....
Kasie.
Pana joto mwanana sana hapo