MC7
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 592
- 491
Mkuu nmevutia na izo Suti nyeuc.. Kumbatio n diplomasia na kampen tuu.
I know....Western culture
Obama mwenyewe aliwahi kukiri kuwa endopo akivunja katiba ya Marekani akamtaja askari alisimama nyuma(sio kwajina) yake kuwa bila kupoteza muda atakuwa wakwanza kumkamata,na alikiri kuwa hakuna kitu anacho heshimu kama katiba ya marekani kila jambo analoamua lazima ajishauri kama hakiuki katiba..!!lakini leo kwetu kuna mambumbumbu ya furahia raiasi kuwa juu ya sheria na katiba ambazo bado pia nikandamiziNa ni kweli.
Ndo maana watu wanaosema eti Trump atafukuza wahamiaji wote [jambo ambalo si kweli na hajawahi kulisema] huwa nawahoji kama wanajua jinsi Marekani inavyotawaliwa.
Rais wa Marekani hana nguvu kivile.
Yap the BOSS Niliipenda sana hotuba ya Joe Biden aliyoitoa Uturuki. Alizima kelele za Uturuki.Alinifurahisha mno alipowajibu waturuki mbele ya Rais wao
kuwa Obama hana mamlaka ya kuamuru kum deport yeyote
hayo masuala ni supreme court ndio inaamua......
nilitamani Magufuli angejifunza kitu hapo
Joe Biden huwa ananifurahisha sana.
Jamaa ni kama mchizi flani hivi.
Hebu ona hilo kumbatio...Hillary kwa kutumia lugha ya mwili anasema kabisa 'Joe imetosha, niachie basi'...
Lakini Joe bado kang'ang'ania tu.
Hahahaaaa creepy old man.
Natamani kujua Sonoma ya waturuki imeisha wapiAlinifurahisha mno alipowajibu waturuki mbele ya Rais wao
kuwa Obama hana mamlaka ya kuamuru kum deport yeyote
hayo masuala ni supreme court ndio inaamua......
nilitamani Magufuli angejifunza kitu hapo
nashukuru sana mkuu kwa kiliona hili, structure ya taifa la marekani halimpi nguvu sana raisi nikiwa nam maana udikteta kamwe hauwezi kuwepo wala hawezi kusalia madarakani mda mrefu maana wamarekani watamtimua tuu. rais wa marekan anaweza kuwa na kiburi awapo nje ya marekani sababu analitambulisha taifa so ana full sapot ya taifa lakin akiwa nyumbani hawezi kuwa na kiburi, yupo on behalf of citizen tofauti na serikali nyingi za africaNa ni kweli.
Ndo maana watu wanaosema eti Trump atafukuza wahamiaji wote [jambo ambalo si kweli na hajawahi kulisema] huwa nawahoji kama wanajua jinsi Marekani inavyotawaliwa.
Rais wa Marekani hana nguvu kivile.
nashindwa kutambua wewe ni mwanamke wa aina gani? kwa hiyo waweza mmezea mate mwanamke mwenzio.Hahahahaaa hii ilikuwa mapokezi ya kikazi sio...? Ingekuwaje Clinton angekuwepo hapo.... labda angechukulia kama utani au labda angekasirika kwa kuonesha wivu hahahahah. Maana huyo Joe alishikilia maeneo ya pembeni mwa matiti..... panakuwaga na joto joto tamu hapo...... yawezekana madam alikuwa kwenye heat matokeo yake Joe akawa hataki kuliachia lile joto joto. ....
Kasie.
nashindwa kutambua wewe ni mwanamke wa aina gani? kwa hiyo waweza mmezea mate mwanamke mwenzio.
simple and clear we una homoni za kiume. yani baada ya kuuota mboro unaota mawezele na mavituzi ya wanaweke wenzio?? nyooo kwanza we utakua msagaji sio bure ntoke hapaNa itakuchukua miaka 1000 mingine kupata utambuzi kuwa kasie ni mwanamke wa aina gani
Hadi wakati huo....
Ciao!!
simple and clear we una homoni za kiume. yani baada ya kuuota mboro unaota mawezele na mavituzi ya wanaweke wenzio?? nyooo kwanza we utakua msagaji sio bure ntoke hapa
Pole ya nini kwnza kwani ugomvi? nimesema wewe sio mwanamke wa kawaida kwaheriKwa kuwa wewe ndo ulinipulizia pumzi ya uhai endelea kuwaza na kufikiri hivohivo ...... poleeee
Pole ya nini kwnza kwani ugomvi? nimesema wewe sio mwanamke wa kawaida kwaheri