Sorry to say this lakini kuna wanawake wamelogewa kunuka uchi, hapa kilichotumika kutengeneza huo uchawi ni yai viza
Aisee! Sasa dawa ya hii itakuwa ni nini? Si nikumuharibia bure future yake mdada wa watu jamani?
Sorry to say this lakini kuna wanawake wamelogewa kunuka uchi, hapa kilichotumika kutengeneza huo uchawi ni yai viza
Yai viza ni kitu kisichofaa kimekufa kinanuka hakina uhai...yai viza hutumiwa sana na wachawi wenye roho mbaya kuharibu maisha ya mtu..ni mojawapo wapo ya uchawi mbaya kabisa kulogewa nao.
Mara nyingi hunuizua maneno kama haya ....kama hili yai lisivyo na uhai ....kama hili yai lisivyo na faida...kama hili yai linavyonuka...
Kisha baada ya manuizi hayo hupasuliwa njia panda ili litawanyike pande nane za uso wa dunia ili kila utakapoenda utakalofanya lisifanikiwe na uchukiwe na kukimbiwa na kila mtu....hata ulikuwa una mafanikio kiasi gani ghafla hujikuta unaanguka na nuksi balaa na mikosi kukuandama
NB: Sifundishi uchawi bali najaribu kuelezea ubaya wa kitu fulani kama hiki ili siku ikitokea kuna mtu kakuudhi usimfanyie jambo baya kama hili bali mwachie Mungu kwakuwa yeye ndio mwamuzi wa haki.
Na wewe kama kuna mtu kajaribu kukufanyia hivi Usijaribu kwenda kwa waganga wa kienyeji kwakuwa huko unaenda kutafuta balaa zaidi la viapo na maagano ambavyo unaweza kuja kushindwa kuvitengua.
Mwachie Mungu kwakuwa hata juju liweje huwa lina kikomo cha kuishi na kufanya kazi expire date.
mshana jr, In principle vifaa vyovyote vinavyotumika kulogea havina uwezo binafsi wa kumdhuru mtu. Kinachotokea ni kwamba mlogaji anaponuia madhara hayo uliyoyataja kwa kutumia symbol au tools zozote, anayemfanyia kazi hiyo ifanikiwe huwa ni shetani kwa kutumia uzao wake yaani majini. Pia madhara hayawezi kumfika aliyekusudiwa bila M/Mungu kuridhia nia ya mlogaji. Pia lile dhara linaridhiwa tuu ili kuwa kama mtihani kwa aliyelogwa.
Niiweke sawa, mlogaji anaweza akakubaliwa kukudhuru kama kipimo cha uchaji Mungu Kwa upande wake. Huyu akipata anachotaka (ile nia mbaya) ndio keshafeli mtihani kwa dhambi ya shirki, anasubiri adabu. Wewe uliyelogwa unaweza ukakubaliwa upatwe na madhara yaliyokusudiwa pia kama kipimo cha uchaji Mungu wako.
Sasa kama utazama ktk shirki ili kujinasua na madhara badala ya kumtegemea M/Mungu pekee ndio tayari umefeli unasubiri kichapo. Jisomee kisa cha Nabii Ayubu (Bible na Kurani) na kisa cha wale malaika wawili waliotumwa kuwafundisha wanadamu uchawi kwa mara ya kwanza kwa lengo la kuwapima nani waovu na waadilifu ktk watu (Kurani) utakuta details za nachokisema.
Sorry to say this lakini kuna wanawake wamelogewa kunuka uchi, hapa kilichotumika kutengeneza huo uchawi ni yai viza
Mkuu, kunuka sehemu ulizozitaja huwa ni maradhi yanayosababishwa na fungi aina ya candidas (kitu kama Candidas vaginalis). Tiba ipo. Tena ni nyepesi. Mi nadhani mwenye tatizo hili aanzie hospitali, akishindwa basi aku PM hahaha......
Hahhahahaaaa najua lakini pia huwa kuna huo mbadala...mwenye hilo tatizo asini PM sina tiba
Kamwe hawawezi kukwambia ukweli ni kama hiyo ya kenge wanaficha ukweli kuna jinsi nyingi za kumtega kenge
Mayai ya kuchemsha ndio kiboko yao si lazima yawe viza
mshana jr, In principle vifaa vyovyote vinavyotumika kulogea havina uwezo binafsi wa kumdhuru mtu. Kinachotokea ni kwamba mlogaji anaponuia madhara hayo uliyoyataja kwa kutumia symbol au tools zozote, anayemfanyia kazi hiyo ifanikiwe huwa ni shetani kwa kutumia uzao wake yaani majini. Pia madhara hayawezi kumfika aliyekusudiwa bila M/Mungu kuridhia nia ya mlogaji. Pia lile dhara linaridhiwa tuu ili kuwa kama mtihani kwa aliyelogwa.
Niiweke sawa, mlogaji anaweza akakubaliwa kukudhuru kama kipimo cha uchaji Mungu Kwa upande wake. Huyu akipata anachotaka (ile nia mbaya) ndio keshafeli mtihani kwa dhambi ya shirki, anasubiri adabu. Wewe uliyelogwa unaweza ukakubaliwa upatwe na madhara yaliyokusudiwa pia kama kipimo cha uchaji Mungu wako.
Sasa kama utazama ktk shirki ili kujinasua na madhara badala ya kumtegemea M/Mungu pekee ndio tayari umefeli unasubiri kichapo. Jisomee kisa cha Nabii Ayubu (Bible na Kurani) na kisa cha wale malaika wawili waliotumwa kuwafundisha wanadamu uchawi kwa mara ya kwanza kwa lengo la kuwapima nani waovu na waadilifu ktk watu (Kurani) utakuta details za nachokisema.
Uchawi ni pepo na roho ya kuharibu hivyo hauwezi kutengeneza