Kulogea/kulogewa yai viza

Kulogea/kulogewa yai viza

Eeh bana, naomba nijue; kuna mtu waganga wamekuja kwa shangazi yake anakoishi wameloga weee, kisha wakampa mayai viza akayafukie nyuma ya nyumba. Hii ikoje na ina maana gani?
 
Haya Mambo hatari Sana. Kuna wakati nililima vitunguu saum, wakati wa kupalilia, tulifukua mayai viza, wenyeji walivyoona wakaniambia tumefukua mayai viza. Sikuchukulia serious Sana, cha kushangaza walinishangaa mimi.

Hapa leo ndiyo nimepata ufahamu Mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom