Duu?uuu
werrason Kuna vitu viwili hapa kuamini na kufanyiwa kitu usichoaminiHivi Mshana Jr. Mtu ambae haamini uchawi analogeka???
Akidhurika chanzo ni mimi....naogopa
Yai viza ni kitu kisichofaa kimekufa kinanuka hakina uhai...yai viza hutumiwa sana na wachawi wenye roho mbaya kuharibu maisha ya mtu..ni mojawapo wapo ya uchawi mbaya kabisa kulogewa nao
Mara nyingi hunuizua maneno kama haya ....kama hili yai lisivyo na uhai ....kama hili yai lisivyo na faida...kama hili yai linavyonuka...
Kisha baada ya manuizi hayo hupasuliwa njia panda ili litawanyike pande nane za uso wa dunia ili kila utakapoenda utakalofanya lisifanikiwe na uchukiwe na kukimbiwa na kila mtu....hata ulikuwa una mafanikio kiasi gani ghafla hujikuta unaanguka na nuksi balaa na mikosi kukuandama
NB: Sifundishi uchawi bali najaribu kuelezea ubaya wa kitu fulani kama hiki ili siku ikitokea kuna mtu kakuudhi usimfanyie jambo baya kama hili bali mwachie Mungu kwakuwa yeye ndio mwamuzi wa haki
Na wewe kama kuna mtu kajaribu kukufanyia hivi Usijaribu kwenda kwa waganga wa kienyeji kwakuwa huko unaenda kutafuta balaa zaidi la viapo na maagano ambavyo unaweza kuja kushindwa kuvitengua
Mwachie Mungu kwakuwa hata juju liweje huwa lina kikomo cha kuishi na kufanya kazi expire date
sawa mkuuUkiyapata yapasulie mbali kwakuwa hayana faida tena kwako
This man doesn't have logic to answer your question.
Swissme
View attachment 307786View attachment 307787that's black magic
View attachment 307788that's sorcerer View attachment 307789that's spell cast
View attachment 307790
View attachment 307791and this is curse
It is amazing and strange to read satanic threads, in Contrast, if you post good news about God, JF will delete your thread for the diabolical reasons of religious hate.
Invisible , why is JF promoting devil worshipping?