Kumtoa aliyefungwa gerezani (Hidden World) kwa jiwe la bahati

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,822
2,290
Habari wana jf

Haya leo nitaeleza namna navyoweza mtoa mtu gerezani kwa kutumia jiwe la bahati,
Kabla sijaendela kumbuka hapa siongelei uchawi wala sifundishi uchawi ni elimu tu kama elimu zingine, naweza sema ni mojawapo ya maarifa tu ambayo mwanadamu amejaaliwa kuwa nayo nk

Sio lazima ufuate haya sio lazima ufanye haya nikujua tu kama ulivyojua tunapumua kwa kutumia pua lakini hauoni manufaa yoyote nk

Haya jambo lakufanya hapa nenda katafute kiota chakunguru kipo sehemu gani,
Ukiisha kipata hicho kiota cha kunguru hakikisha hakuwa ameanza kuyaatamia mayai yake,
Chukua yai moja au mawili,
Nenda nyumbani kayachemshe yale mayai hadi yaive kabisa(usije ukayapasua kuonja kama yameiva kiding)
kisha nenda kayarudishe katika kiota cha kunguru
Hakikisha ni siku hiyohiyo kabla kunguru hajarudi katika kiota chake

Nini kinatokea wewe kila siku utakuwa unaenda kuangalia ndani yakiota chakunguru hadi siku utalikuta jiwe. Utalichukua hilo jiwe na kuondoka nalo.

Kabla sijaendelea,

Nikwamba ndege huwa mayai yao yanaweza kuharibika(Yai Viza) ila kunguru pekee ndio anauwezo wakutibu yai lake likiwa viza

Anaenda mbali anakokujua yeye atatafuta hilo jiwe nakulileta katika kiota, hilo jiwe huyabadiri mayai yake kunguru na kuwa mayai yenye uzima tena na hata yakaja kuatamiwa na kuanguliwa,

kwahiyo hapo tunatumia kunguru kupata jiwe la bahati
umeona? hakuna uchawi wowote ni maajabu ya Mungu tu sema ulikuwa haujui hili

Haya tunaendelea
Basi unaenda siku gerezani kutembelea mfungwa wako ukiwa na hilo jiwe,
kama utapata namna ya kumpa basi utaweza kumpatia hilo jiwe,
Akiingia katika mlango wowote ule basi huo mlango tayari kwake, unakuwa upo wazi hata watu wote wataona hafai wala hastahili kukaa mahali hapo
basi ndani ya siku kadhaa tu anaachiwa huru,

Kila mahali na hatua lina njia na namna zake kuweza kulitumia ni jiwe la bahati tu
ukiweza kulipata bila msaada wa kunguru basi goodluck.

Kumbuka do for your own risk
Hakuna uchawi wala ulozi hapa, wala hakuna kumkufuru Mungu

Over
 
Na uwez kulitumia kwenye harakat zingine mfano biashara etc

Sent using Jamii Forums mobile app
YEah unaweza litumia muhimu kupata maelezo yake tu how to use
maana ukitumia tofauti ni vigumu kufanya kazi
example ukiliweka mdomoni na ukawa unafanya speech unaongea na mtu basi kila unachoeleza kinakubarika pasipo kupingwa nk
Muhimu nikufanya in proper way maana haya mambo nikama wish master hakuna madhara ila kuna matokeo mabaya usipoelewa unachowish vyema ama wish yako ikiwa ni mbaya
 
Habari wana jf

Haya leo nitaeleza namna navyoweza mtoa mtu gerezani kwa kutumia jiwe la bahati,
Kabla sijaendela kumbuka hapa siongelei uchawi wala sifundishi uchawi ni elimu tu kama elimu zingine, naweza sema ni mojawapo ya maarifa tu ambayo mwanadamu amejaaliwa kuwa nayo nk

Sio lazima ufuate haya sio lazima ufanye haya nikujua tu kama ulivyojua tunapumua kwa kutumia pua lakini hauoni manufaa yoyote nk

Haya jambo lakufanya hapa nenda katafute kiota chakunguru kipo sehemu gani,
Ukiisha kipata hicho kiota cha kunguru hakikisha hakuwa ameanza kuyaatamia mayai yake,
Chukua yai moja au mawili,
Nenda nyumbani kayachemshe yale mayai hadi yaive kabisa(usije ukayapasua kuonja kama yameiva kiding)
kisha nenda kayarudishe katika kiota cha kunguru
Hakikisha ni siku hiyohiyo kabla kunguru hajarudi katika kiota chake

Nini kinatokea wewe kila siku utakuwa unaenda kuangalia ndani yakiota chakunguru hadi siku utalikuta jiwe. Utalichukua hilo jiwe na kuondoka nalo.

Kabla sijaendelea,

Nikwamba ndege huwa mayai yao yanaweza kuharibika(Yai Viza) ila kunguru pekee ndio anauwezo wakutibu yai lake likiwa viza

Anaenda mbali anakokujua yeye atatafuta hilo jiwe nakulileta katika kiota, hilo jiwe huyabadiri mayai yake kunguru na kuwa mayai yenye uzima tena na hata yakaja kuatamiwa na kuanguliwa,

kwahiyo hapo tunatumia kunguru kupata jiwe la bahati
umeona? hakuna uchawi wowote ni maajabu ya Mungu tu sema ulikuwa haujui hili

Haya tunaendelea
Basi unaenda siku gerezani kutembelea mfungwa wako ukiwa na hilo jiwe,
kama utapata namna ya kumpa basi utaweza kumpatia hilo jiwe,
Akiingia katika mlango wowote ule basi huo mlango tayari kwake, unakuwa upo wazi hata watu wote wataona hafai wala hastahili kukaa mahali hapo
basi ndani ya siku kadhaa tu anaachiwa huru,

Kila mahali na hatua lina njia na namna zake kuweza kulitumia ni jiwe la bahati tu
ukiweza kulipata bila msaada wa kunguru basi goodluck.

Kumbuka do for your own risk
Hakuna uchawi wala ulozi hapa, wala hakuna kumkufuru Mungu

Over

Moja>> shida ni 'timing' ya kabla kunguru hajarudi kwenye kiota chake.

Pili>>Ulipate yai kabla hajaanza kuliatamia na utalijuaje kama bado?

Hapo msaada wa utalaam wa tabia za ndege unahusika, kuna hatua zimerukwa kwa sababu azijuazo mleta mada.

Nimejifunza jambo jipya.
 
HA ha ha ah Kabisa Aiseeee
anyway muhimu mtu awe na msingi wa kitu husika tuu
 
NI maaarifa tu banaaa
jpm wala hahusiani kabisa na haya mambo hata kidogo
wala hal za maisha mi naona zinahusiana na mimi mwenyewe
sijuagi raisi yupi mambo rahisi yupi magumu ila naamini juhudi bidii na kujituma huleta mafanikio
over
Natania tu ndugu yangu,ila inabidi uache kazi ufanye kazi ya kumchunguza kunguru tangu anataga,ila mwisho wa siku tukimtumaini na Mungu yote yanawezekana
 
Nikweli ukimtumaini Mungu yote yanawezekana
Ndio maana ametupa akili na maarifa na utashi
badala yakukesha umuombe akufunulie nini kinaendelea duniani Unachukua simu unakaa kwenye tv nk unaelewa
Badala yakuomba akupe chakula unenda kufanya kazi upate riziki yako uweze kula
Badaya kuomba kufundishe kusoma unaenda zako shule kujifunza kusoma
Badala yakuomba akupeleke ulaya unatafuta hela na kufuata kanuni za kwenda nje
badaya yakumuomba akufanye usiumwe corona unajifunza njia za kujikinga na corona
badala ya kuomba akupe mke mwema unaenda kumtongoza demu unayempenda
badala yakuomba akupeleke kijijini kwenu unatafuta nauli unapanda basi unaenda

Yote yanawezekana kwa Mungu ila kumbuka katupa akili na maarifa tuweze kujiongoza na kuamua wenyewe
 
Wazee wetu walijua mengi nakufa nayo.Sisi kizazi cha vitabu vya mzungu hakuna cha maana tunachojua.
Nimewahi kuhadithiwa ns mkinga mmoja kuwa kuna aina Fulani ya ndege ukimkamata na kumfunga kamba, basi mwenzie huenda kutafuta majani Fulani na kuja kumtoa hapo hivyo ukiyapata hayo majani hakuna mlango au kufuli litakalo kushinda hapa duniani.Babu zetu walijua mengi sana, bado wapo wachache wanajua.Mi natamani nipate mshirika mmoja tujitolee kudocument kila kitu wanachojua mababu waliopo.
Mi nareekea kuwa mzee lakini Hanna nachojua ni aibu sana tutazeeka tukiwa weupe huku vijana wakituangalia sisi kutatua shida kubwa kubwa ambazo elimu mzungu inafeli
 
Hiyo ya kufuli sio ndege tu nimeogopa kuiandika tukatengeneza kizazi cha majambazi hapa
 
Kuna kijiti nyoka hukitumia kutibiana wezi wanakitumia sana kile.wanawagombanisha nyoka then mmoja akikaribia kufa yule mzima anakwenda anarudi nacho baada ya masaa kadhaa kumtibia yule mwenzie.watu wa tabora wanajua hii kitu
 
Back
Top Bottom