😀 Waswahili watakupost na mitandaoni kwamba una njaa njaa.Akiba kwa wasiopenda kudhalilika wakipata dharura.
Sipendi kuomba omba, sipendi kumweleza mtu matatizo yangu ya kifedha…waswahili nyoko sana, hawatakusaidia watakutangaza
😀 Waswahili watakupost na mitandaoni kwamba una njaa njaa.
Hivyo hivyo kwenye kujenga aibu utaipata ukiwa mtu mzima mwenye familia alafu bado unakimbizana na mama wenye nyumba. Waswahili watakuonesha.
Aina hii ya vijana ndiyo mnaotakiwa kwenye jamii. Safi sana mkuu endelea kujitambua hivyo hivyo.Mm nadhan kila mwanamme kabla ya kufikisha miala 35 awe ameoa, ameshajenga na awe na watoto wasiopungua wawili na kausafiri(gar 1 au 2)
Kwangu hii ndio niliona standard ya maisha niliyochagua kabla ya kufikia 35 yrs.
Sio tajiri, sio masikini.
Kwahiyo maisha yangu yote niliyoishi wakat naanza kujitegemea (23+yrs ) niliyaset kupambania ndoto hiyo.
Now nimeanza phase 2.
Kabla ya miaka 45.
Niwe na Kiwanda, nyumba ya 2 na uchumi ambao hata nikiwa naumwa utaniuguza bila mm kuwepo eneo la biashara.
Kupanga ni kuchagua.
Life ni timing mkuu.😀 Waswahili watakupost na mitandaoni kwamba una njaa njaa.
Hivyo hivyo kwenye kujenga aibu utaipata ukiwa mtu mzima mwenye familia alafu bado unakimbizana na mama wenye nyumba. Waswahili watakuonesha.
ishi maisba yako usipangie watu.Hellow wa JF.
Utasikia vijana wakisema mimi siwezi kukaa/kupanga chumba/nyumba chini ya 300,000 au 500,000 au 800,000 kwa mwezi. Hapo hapo siku za mbeleni anakuja kuzalisha/zalishwa watoto kwenye nyumba za watu hana kiwanja wala nyumba.
Naomba niwakumbushe hakuna tuzo utakuja kupewa ya kulipa kodi kubwa.
Na yeye anakumbushwa hakuna tuzo kama vile yeye alivyokumbushaMbona Kama kisukari kimekupanda?.
Mhhh watu wengine kodi ya 120,000 kwa mwazi sawa na 120,000x12 =1,440,000 ilinishindagaHellow wa JF.
Utasikia vijana wakisema mimi siwezi kukaa/kupanga chumba/nyumba chini ya 300,000 au 500,000 au 800,000 kwa mwezi. Hapo hapo siku za mbeleni anakuja kuzalisha/zalishwa watoto kwenye nyumba za watu hana kiwanja wala nyumba.
Naomba niwakumbushe hakuna tuzo utakuja kupewa ya kulipa kodi kubwa.
Kwamba hao watoto watafanana na Baba mwenye nyumba siyo?Mkuu naziona dalili za watoto wako kuja kuzani Baba mwenye nyumba ni Babu yao.