Kulinda wazee na wagonjwa wasipate Covid-19

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,421
1586671150946.png

Wazee huwa na kinga ndogo kupambana na maradhi kwakua kila kiungo kinaanza kufanya kazi kwa kiwango cha umri. Ukiwasisitiza wasitoke nje bila sababu maalum na kukiwa na sababu maalum wavae parakoa.

Ukipata wageni wahimize wavae parakoa kabla ya kusalimia wazee. Parakoa ianzie chini ya macho mpaka usawa wa shingo chini ya kidevu.
 
View attachment 1416964

watanzania tulivo tushaanza kusemana,mtu akifa unaskia “alikuwa na ngoma”
 
Back
Top Bottom