Kulikuwa na warembo leo huko Dodoma

Kulikuwa na warembo leo huko Dodoma

Ng'egera

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
766
Reaction score
420
Hawa ni walembo walionekana kufurahia mkutano wa leo
23CCM.jpg
23CCM.jpg
 
Hawa ni walembo walionekana kufurahia mkutano wa leoView attachment 369876 View attachment 369876

Jifunze kuwa na ADABU halafu JIHESHIMU Mkuu. Usidhani wote humu unafanana nao huo UPUUZI wako. Hizo picha nina uhakika wote siyo za leo Mkoani Dodoma bali ni picha tu za mwaka jana wakati wa Kampeni za Urais. Yaani umetafuta Makosa ya Msingi ya CCM umeyakosa na ukaona uje na uwongo wa aina hii? Kweli CCM inawateseni Upinzani na imewaweza! Na msiyempenda kaja ambapo ni KIKOSI kile kile cha MAUAJI cha Comrade Kinana ambacho Mwenyekiti mpya wa CCM Rais Dkt. Magufuli amekirudisha tena kazini hivyo Wembe ni ule ule na 2020 mtaisoma namba kwani imeshagundulika kuwa Comrade Kinana ndiyo Kiboko ya UKAWA na hasa hasa Chama cha CHADEMA. Na bado mtaitambua CCM!
 
Kweli nimeamini kupenda sana kunaondoa akili picha za leo unasema za mwaka jana kweli na ndio maana hata mkilala na njaa mkisifiwa mmekula pilau mnachekelea tu na kuamini kweli mmekula pilau
 
Back
Top Bottom