Kulikuwa na warembo leo huko Dodoma

Kulikuwa na warembo leo huko Dodoma

Hapo nyumani kwa hilo big popa ni shanga ama nini maana nashindwa kushangaa?
 
Jifunze kuwa na ADABU halafu JIHESHIMU Mkuu. Usidhani wote humu unafanana nao huo UPUUZI wako. Hizo picha nina uhakika wote siyo za leo Mkoani Dodoma bali ni picha tu za mwaka jana wakati wa Kampeni za Urais. Yaani umetafuta Makosa ya Msingi ya CCM umeyakosa na ukaona uje na uwongo wa aina hii? Kweli CCM inawateseni Upinzani na imewaweza! Na msiyempenda kaja ambapo ni KIKOSI kile kile cha MAUAJI cha Comrade Kinana ambacho Mwenyekiti mpya wa CCM Rais Dkt. Magufuli amekirudisha tena kazini hivyo Wembe ni ule ule na 2020 mtaisoma namba kwani imeshagundulika kuwa Comrade Kinana ndiyo Kiboko ya UKAWA na hasa hasa Chama cha CHADEMA. Na bado mtaitambua CCM!

Povu la nini?
 
Back
Top Bottom