Ikulu yetu sasa inaonekana kama "choo" cha stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani Ubungo. Kila aina ya watu wanaingia pale siku hizi. Shughuli za kikazi na za kiserikali kama ile ya jana hata akina WJM nao wakaingia pale! Bado tunasubiri akina Ngeleja, Mkullo, Nundu, Mponda,...., waende kuaga na familia zao kwa kuwa siku wanaapishwa walikwenda nazo.