Kulikuwa na Sababu ya Watoto wa Kikwete kuhudhuria sherehe za kuapishwa Mawaziri?

- Fungua thread ya maisha yangu, otherwise hapa ni hoja ya kama ipo Sheria ilivunjwa kwa watoto wa Rais kuhuduria jana, wewe unasemaje on that? ha! ha! ha!

- By the way mkuu, huwezi kwenda hizi sehemu bila kualikwa, understand that! ha! ha! ha!

William.

Kwahiyo jk aliwaalika wanawe?
 
quote_icon.png
By Shagiguku

hivi wewe nng007, ni mmoja ya wale watu waliowahi kusemwa kwamba "ni wavivu wa kufikiria ....!!!!!?????"
inakuwaje unakuwa mvivu wa kufikiri kwa jambo dogo kama hili, japo hata ungetumia "simpo lojiki" katika kufikiria.

Hebu angalia watoto wa rais kwao ni humo ikulu.....!
shughuli nzima ya kuwaapisha mawaziri inafanyikia ikulu katika viwanja vyao vya nyumbani.....!

sasa ulitegemea waende uvunguni wakajifiche ili wasiione hiyo shughuli....!!!????
hivi wewe kama nyumbani kwenu/kwako kuna shughuli ya ngoma inafanyikia uwani kwenu/kwako hutaitupia jicho...?? au utakwenda jificha uvunguni mwa kitanda....???

Ushauri wa bure kwako wewe nng007: acha hizo, jaribu kufikiria "ISSUES" na si "WATU"





- Kwahiyo Mr. Malecela unakubaliana na huyu Jamaa kuwa Rizwan na Kaka yake na wake zao wanaishi hapo Ikulu na Mr. President? Kwahiyo inaonyesha hauwajui hawa Vijana wa Rais, kama mimi na unatetea utupu haujui unachosema Unatetea kulinda Maslahi yako period.

- Nchi yetu itafika kweli? Kama Mnapinga kitu hata hamkijui?

* Ni kama nikikuuliza Kwanini East Africa ilivunjika Mwaka 1977? Utasema nina Wivu?



ndugu yangu nng007, katika thread uliyotupostia, heading yako haikutaja majina ya riz1 wala rajabu, bali ilisomeka hivi, nanukuu: ""
[h=2]Kulikuwa na Sababu ya Watoto wa Kikwete kuhudhuria sherehe za kuapishwa Mawaziri?""[/h]
kwa nukuu hiyo, hapa hatujadili riz1 wala rajabu, bali tunajadili ""watoto wa kikwete"" wapo wangapi, wanaishi wapi, kwa nini walikuja hapo nk, nk hayo hayatuhusu.

je, kama walipitaa kumsalimia mzazi wao wakakutana na shughuli hapo homu kwao...??
je, kama walialikwa kama walivoalikwa watu wengine...?? (maana umesema "....sherehe...." na tunaelewa wazi kuwa sherehe huwaga zina mialiko.

na ukizungumzia habari ya watoto wa jk orijino (nyerer) angalia mazingira ya ikulu ya wakati huo ukiyahusisha na vyombo vya habari.
 
- Siku hiyo walialikwa wananchi wengi sana, kwamba wao walialikwa au hawakualikwa sio ishu the ishu inapaswa kuwa what is the policy, badala ya kuwalilia majina yao tulilie policy kama ni muhimu sana, otherwise kama wananchi wengine walialikwa kwa nini na wao wasialikwe, na besides baba yao The Sitting President anaanya kazi na kuishi pale kisheria, sasa unaalikwaje kazini na nyumbani kwa baba yako, something is a miss na hoja yako mkuu!



William.
Policy ipi tena? Kilichofanyika pale ni kufanya mambo kwa mazoea tu. Umesema vema tu kwamba pale Ikulu ndio nyumbani kwao na baba yao ndie Rais wetu na waliokuwa wanaapishwa bila shaka waliteuliwa na baba yao na KATIBA yetu inawataka waape mbele ya baba yao na wao wakiwepo.
 
ndugu yangu nng007, katika thread uliyotupostia, heading yako haikutaja majina ya riz1 wala rajabu, bali ilisomeka hivi, nanukuu: ""
Kulikuwa na Sababu ya Watoto wa Kikwete kuhudhuria sherehe za kuapishwa Mawaziri?""


kwa nukuu hiyo, hapa hatujadili riz1 wala rajabu, bali tunajadili ""watoto wa kikwete"" wapo wangapi, wanaishi wapi, kwa nini walikuja hapo nk, nk hayo hayatuhusu.

je, kama walipitaa kumsalimia mzazi wao wakakutana na shughuli hapo homu kwao...??
je, kama walialikwa kama walivoalikwa watu wengine...?? (maana umesema "....sherehe...." na tunaelewa wazi kuwa sherehe huwaga zina mialiko.

na ukizungumzia habari ya watoto wa jk orijino (nyerer) angalia mazingira ya ikulu ya wakati huo ukiyahusisha na vyombo vya habari.

Sio JK Nyerere tu, Mwinyi na Mkapa pia watoto wao hawakutapatapa Ikulu na wageni waalikwa
 
- Kama haya yalikuwa muhimu then kwa nini taifa letu limekwama kimendeleo?

William.

Mhishimiwa sana William kwanza thanx 4ya compliment, "though.....", pili ishu ya kuwepo ama kutokuwepo kwa hawa akina RizOne na Miraji pale viwanjani kwa Mkuu wa Inji kwangu mimi haina maana yeyote ILA hili ulilogusia la TAIFA kukwama kimaendeleo ni kwa sababu ya udhaifu WA chama chenu cha Mapinduzi. Naamini hili unalitambua fika, Just imagine 4 the past 20years only kuna cases Ngapi za madudu ya Magamba?! Ufisadi, wizi Sijui ndio ubadhilifu WA Mali za Umma IN General.
Toka that time MHE. Simba anang'oka Wizara ya Biashara kwa ile Dili yake ya Sukari, "Mchapa kazi" Magufuli (sina hakika) akauza nyumba zetu zile CHINI ya utawala WA Ben, kina City water, Kagoda, Meremeta, Richmond hadi Leo kwenye haya madudu yaliyopelekea Jk Kuapisha hawa Wahishimiwa Sana pale Magogoni.
Vp, Bado hujapata jibu la kinachokwamisha maendeleo ya taifa letu hili? kuna sababu yeyote ya ccm kuendelea kubaki madarakani? I don't think so, it's about time.
 
Mleta thread pale kwenye viwanja vya Ikulu tumeona sura nyingi ngeni kabisa lakini wewe umechambuwa wawili na kuwapiga picha na kuleta humu JF tufahamishe na wale wengine walikuwa na sababu gani kuwa Ikulu.
Na kuwa kuongezea, ukarimu huanzia nyumbani.
 
Hapa ni Africa Uongozi ni wa kurithishana, si shangai uwepo wao ila kinachonishangaza Malizi anakua kama kaombwa kitu kibaya maana kanuna wakati RIZ1 yote 32 yako out!
 
nakumbuka katika kampeni baba yao alisema kampeni ni suala la kifamilia. na ndio maana walisimamia kampeni za baba yao....(na kupata ushindi wa kishindo cha kichakachuzi!) hii inawafanya wawe ndo power makers. si ajabu wako pale full of tabasamu. meseji waisemayo ndogo tu ni kuwa ...touch us, if you can...ukione!!

Ushindi haukuwa wa kishindo baada ya kugawa pesa, chakula, burudani, nguo alipata 60% na hapo kuna uwalakini wa kura
 
Hivi huyu malecela hana mawazo mengine zaidi ya kufikiri siasa atakufa fukara.
-Tunaongelea Facts wewe ni mtoto wa Mkubwa na Unamjua Makongoro Nyerere Wakati J.K. Nyerere alipokuwa anawaapisha Mawaziri Baba yako akiwa Mmoja wao sidhani ilikuwa faragha pia ya watoto kuvaranda Ikulu bila sababu yoyote ile na kuongea na Wageni Wakuu Waalikwa.

Ni Sherehe Ngapi Umehudhuria za Mawaziri kuapishwa?

- Katiba sio pana kiasi cha kusema kuhusu wageni watakao hudhuria kuapishwa kwa Mawaziri, Hakuna Fitina ni kuwa logistically kuna umaana gani ya hao watoto kwenda?

- Kuhudhuria kwako sio kubaya ni vizuri na ni njia ya kujionyesha ili mbeleni ufanikiwe kugombea Ubunge, kwahiyo kuwepo kwako kulikuwa sio bila maana yoyote, ilikuwa baadaye itakulinda na kukujengea chakula kwa kuupata Ubunge au Ujumbe wa NEC.

Tunampenda Rais wa nchi yetu, kwanini tuwe na chuki na amebakiza Miaka Miwili na Nusu kutawala nchi?
 
Back
Top Bottom