Kulikoni TV Channels za Mengi na wenye Ving'amuzi!!!

Anselm

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
1,710
291
Sijui kama kuna aliyelibaini hili,katika ving'amuzi vyote vinavyopatikana hapa nchini kwa sasa hivi TV Channels za Bwana Mengi i.e. ITV,EATV and Capital hazimo au hata kama zilikuwemo zimeondolewa ghafla kama walivyofanya wenye EASY TV,kulikoni katika hili,mwenye habari zozote atujulishe tafadhali.
 
easy wapo pale mwenge mpakani utawakuta makao yao makuu huko makongo.kama hupajui mwenge mpakani kuna service road kushoto ukiwa unatoka mliman city lango la survey fuata hiyo service road hadi inapoishia utaona bango lao na kuna bar hapo pembeni sikumbuki jina.
 
thanks kwa kunifahamisha
 
Lakini na wao ITV na STAR TV wana KINGAMUZI chao siki kumbuki jina ila TCRA walitoa LICENCE kwa makamp[uni MATATU.
1. STAR TIMES ( TBC + WACHINA)
2. TING ( VYOMBO VYA DINI) ila nashangaa SISI WAISLAM HATUMO! LABDA NDIO KAMA KAWAIDA YETU NYUMANYUMA KILA PAHALI.
3. ......( STAR TV + ITV )
 
kumbe lengo lako lilikuwa kufika hapo!! unapotezea watu muda na mada zako za kidini, go to hell!!
 
Kama wamebadili frequency sisi tutashikaje hizo station manake inaudhi hatuzipati station za mengi
 
Kwa Easy Tv wameziondoa kabisa,I really miss them mwenye uzoefu na TING anisaidie kuna channel gani nyingine,nataka niangalie utaratibu wa kuhamia huko.
 
Back
Top Bottom