Kulikoni self microfinance fund, mbona hawaitwi kazini

JGGM

Member
Sep 26, 2021
22
45
Naomba kuuliza kwa anayejua kuhusu kada za self microfinance fund mbona hawaitwi kazini kwa waliofanikiwa interview. Maana zilifanyika pamoja na za brela ambao wameitwa tayari kazini pia kuna watu wamefanya interview siku za hizi karibuni na wameitwa pia. Walisema wiki 2 hadi 3, tembelea website ya ajira lkn sasa ni zaidi ya mwezi na wiki.
 
Mkuu huu utaratibu wa kuita kimyakimya utakuwa ndio umeanzia hapa,na kwa Nini hapa??
Sasa walivyosema ndani ya wiki mbili hadi tatu na saivi ni miezi miwili kimya wala hakuna hata taarifa yoyote, cha ajabu taasisi zingine waliofanya hivi karibuni wameitwa. Bora watoe taarifa yoyote kuliko kukaa kimya
 
Me nadhani Kuna haja ya kufika ofisi za utumishi aisee,it has gone beyond tolerance
Sasa walivyosema ndani ya wiki mbili hadi tatu na saivi ni miezi miwili kimya wala hakuna hata taarifa yoyote, cha ajabu taasisi zingine waliofanya hivi karibuni wameitwa. Bora watoe taarifa yoyote kuliko kukaa kimya
 
Oya mitihani ya self microfinance wamebase wapi Sana maswali,japo tunajua kuwa mtihani inabadilika
 
Back
Top Bottom