YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,052
Toka apishwe chini ana Hasira Na serikali achaLihamie mara ngapi? Alishahamia kitambo sana na nasikia shughuli ilompeleka Urusi wamemtoa sasa atakula nyasi,
Iko hivi hawa ni watu wa serikali walioko nje,(FAO) sasa kapigwa chini kama hamuelewi, ndo maana ya povu la hivi karibuni