Kulikoni Mpakwa mafuta Britanicca, umehamia CHADEMA

Huyu akihamia CHADEMA ni pigo kwa CCM mtandaoni, maana michango yake asilimia 30 angalau inakijenga chama chake,
Pili ni watu ambao CCM inawategemea mtandaoni
GENTAMYCINE
Troll JF
Trump2
faiza foxy
britanicca

Kuna muda akili huwajia na kutoa michango ya maana wanajua sana kucheza na jukwaa, wanatumwa kuleta nyuzi za ni trick watu kupima upepo,

Ila kuna mazuzu YEHODAYA ISIS jingalao hawa wamachefua Pascal Ndege
 
Lihamie mara ngapi? Alishahamia kitambo sana na nasikia shughuli ilompeleka Urusi wamemtoa sasa atakula nyasi,

Iko hivi hawa ni watu wa serikali walioko nje, sasa kapigwa chini kama hamuelewi, ndo maana ya povu la hivi karibuni
Inakuwaje wapinzani wakihamia CCM ni sahihi ila CCM wakienda upinzani inakuwa ni dosari? Kama tunajinasibu kuwa ni nchi ya demokrasia basi tuishi kidemokrasia kwa kuheshimu maamuzi binafsi.
 
Huyu akihamia CHADEMA ni pigo kwa CCM mtandaoni, maana michango yake asilimia 30 angalau inakijenga chama chake,
Pili ni watu ambao CCM inawategemea mtandaoni
GENTAMYCINE
Troll JF
Trump2
faiza foxy
britanicca

Kuna muda akili huwajia na kutoa michango ya maana wanajua sana kucheza na jukwaa, wanatumwa kuleta nyuzi za ni trick watu kupima upepo,

Ila kuna mazuzu YEHODAYA ISIS jingalao hawa wamachefua Pascal Ndege
Nasikia siku hizi wamemsajili na Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom