Sandinistas
JF-Expert Member
- Jul 5, 2013
- 2,616
- 1,778
Hao wote maslahi Yao yameguswa
Wakati wa kikokotoo nani aliunga mkono hoja? All was quiet on jf. Meaning kila mmoja ameumizwa.
Hao wote maslahi Yao yameguswa
Inakuwaje wapinzani wakihamia CCM ni sahihi ila CCM wakienda upinzani inakuwa ni dosari? Kama tunajinasibu kuwa ni nchi ya demokrasia basi tuishi kidemokrasia kwa kuheshimu maamuzi binafsi.
NaniAkianzishaga uzi wachangiaji wanakimbilia kuangalia kaandika nini, jamaa ana fix hatari
Yawezekanapayroll haisomi
Umemsahau Ndege JohnHuyu akihamia CHADEMA ni pigo kwa CCM mtandaoni, maana michango yake asilimia 30 angalau inakijenga chama chake,
Pili ni watu ambao CCM inawategemea mtandaoni
GENTAMYCINE
Troll JF
Trump2
faiza foxy
britanicca
Kuna muda akili huwajia na kutoa michango ya maana wanajua sana kucheza na jukwaa, wanatumwa kuleta nyuzi za ni trick watu kupima upepo,
Ila kuna mazuzu YEHODAYA ISIS jingalao hawa wamachefua Pascal Ndege