nchonga aliyebaki
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 590
- 1,062
Hii ni thread ya kipindi cha kampeni??
12 July 2015 Ni Tarehe Ambayo Tanzania Imepata Uhuru Mara Ya Pili Kutoka Kwa Wala Rushwa, - JamiiForumsHii ni thread ya kipindi cha kampeni??
mkuu usiwaamini sana hao jamaa. wote ni wanyonya damu tu hao!Ni suala la muda,kama umetazama vyema bunge linaloendelea utabaini kitu. Bashe kasema,Serukamba kasema,Zungu kasema,Ndugai kasema.....Magu atabaki peke yake
Peng Yeu(mkandaras); Huyu Atakayekuwa Rais Ni Mkali Sana Kama Xing J Ping Wa China - JamiiForumsNipe thread yake moja kipindi cha kampeni
Orodha Ya Kashfa Za Mgombea Huyu Ni Hatari Sana Hafai, Ona Nawe Ongezea Nyingine - JamiiForumsHii ni thread ya kipindi cha kampeni??
Hehehe
Mkuu mimi nipo katikati ila ulaji tukaribishane mkuuNipe thread yake moja kipindi cha kampeni
Yaan watu wananizungumzia hata ambayo hawajui, mi Ni Ccm sitatoka CCM na naunga mkono juhudi.zote za mkuuBrittanica mbona mchango yake ni constructive sana kwa mstakabali wa nchi yetu. Tuacheni uchama kwenye mambo ya msingi kwa taifa letu.
He was notifying JF and not campaigning?
Umewasahau ndege JOHN na stroke kwenye list ya piliHuyu akihamia CHADEMA ni pigo kwa CCM mtandaoni, maana michango yake asilimia 30 angalau inakijenga chama chake,
Pili ni watu ambao CCM inawategemea mtandaoni
GENTAMYCINE
Troll JF
Trump2
faiza foxy
britanicca
Kuna muda akili huwajia na kutoa michango ya maana wanajua sana kucheza na jukwaa, wanatumwa kuleta nyuzi za ni trick watu kupima upepo,
Ila kuna mazuzu YEHODAYA ISIS jingalao hawa wamachefua Pascal Ndege
Mi Ni CCM damu damuKwakweli tokea ijumaa jamaa kawaruka kimawazo CCM
Naona mawazo ameegemea sana Chadema na kwa CUF lakin ya Bashiru
Unakaribishwa chamani Tanganza
Hao afu ni mazuzu kweli hasa huyo Yehodaya na Isis ni wapuuzi sana.wao kila kitu ni kusifia tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo kwenye mazuzu